Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Wapi hao unaowaongelea?? Sisi memba hatujatoa pole yoyote zaidi ya hongeraKwa niaba ya wanajf, natuma salamu za pole kwa kamanda wa mkoa husika
Wapi hao unaowaongelea?? Sisi memba hatujatoa pole yoyote zaidi ya hongeraKwa niaba ya wanajf, natuma salamu za pole kwa kamanda wa mkoa husika
Hakuna uhusiano kati ya simu na radi. Ikitokea ikakupiga basi ingekupiga tu hata kama usingekuwa na simuItakuwa kuna mjinga kati yao alipokea simu
Unajuje kama ndio hao hao miongoni mwa watekaji.Mwezi wa 5 hakunaga radio. Hizo ni radio za uchawi. Sasa kwanini wasiwapige na hao wanaoteka watu?
basi sawa mkuuWapi hao unaowaongelea?? Sisi memba hatujatoa pole yoyote zaidi ya hongera
Shida hiyo AKILI na BUSARA hawanaKwa Jinsi comment za watu zilivyo, ikitokea siku, Polisi wakapata Ajari au janga lolote, Muitikio wa Jamii kuwasaidia utakua mdogo, Kuna Umuhimu wa kuiondoa hiyo chuki baina ya Raia na Polisi.
Naomba Serikali Itazame hili.
Wakina lucas mwashamba na CCm JF wanaweza kushukuru maendeleo ya radi ya mamaRadi ya mama
Mwanamke ni kiumbe kisicho na akili ya uongozi ....ukiona wanawake wanashabikiana kupewa uongozi jua wanajitafutia na kulitafutia taifa madhara makubwa sana .....na ukiona mwanaume anaunga mkono wanawake kuwa viongozi basi tambua kua huyo mwanaume ni mpumbavu na fisadi anayafanya hayo kwa kutafuta faida yake binafsi... hata huku mitaani ninapinga hata wanawake kuwa wajumbe wa nyumbani 10View attachment 3334262
View attachment 3334263
Naelewa hoja ya wananchi, nachongaa ni serikali hasa mkuu wa nchi kuchukulia poa tu.
Tunamshukuru samia bushiri kwa kuleta radiWakina lucas mwashamba na CCm JF wanaweza kushukuru maendeleo ya radi ya mama
Kwenye hiyo Niaba mimi sipo Mkuu 😎Kwa niaba ya wanajf, natuma salamu za pole kwa kamanda wa mkoa husika
binadamu wenzetu hao mkuuKwenye hiyo Niaba mimi sipo Mkuu