Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

Ulikuwa hujui?!!!! Unaishi nchi gani kamanda?!!!
Nipo Tanzania mkuu!nimeshangaa hii research imefanyika lini kujua kuwa wanaoshangilia vifo vya askari , wabunge na viongozi wa serikali ni chadema!kama ni kweli basi askari, wabunge na viongozi wa serikali wajitathmini kwa nn hii hali inatokea!!
 
Asili haidanganyi.

Mwanamke akipewa nafasi ya maamuzi ya juu anaharibu
nakubaliana na wewe, alipochukua nafasi nilikuwa upande wake, marehemu mama yangu akaniambia "mwanamke hana uwezo wa kuongoza nchi" nilipigwa na butwaa, akaongeza, "huo ndo ukwel"

Najionea mwenyewe kwa sasa wallah.
 
Nipo Tanzania mkuu!nimeshangaa hii research imefanyika lini kujua kuwa wanaoshangilia vifo vya askari , wabunge na viongozi wa serikali ni chadema!kama ni kweli basi askari, wabunge na viongozi wa serikali wajitathmini kwa nn hii hali inatokea!!
Chadema chakavu haihitaji kutathminiwa sababu wenyewe wako kama mazombi
 
nakubaliana na wewe, alipochukua nafasi nilikuwa upande wake, marehemu mama yangu akaniambia "mwanamke hana uwezo wa kuongoza nchi" nilipigwa na butwaa, akaongeza, "huo ndo ukwel"

Najionea mwenyewe kwa sasa wallah.
Mama Yako na wewe wote mna matatizo ya kijinsia....yeye ilipaswa awe wewe na wewe uwe yeye. Poleni sana
 
kwanini isingeondoka na yule babu mwenye miaka 70 wa kanda maalumu DAR ambaye amekataa kustaafu anaua watoto wa wenzie tu as if yeye ataishi milele? haya ni matumizi mabaya ya RAdi
 
Back
Top Bottom