Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kwani hawakuwa na bunduki?Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama.
Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro ambapo askari waliofariki dunia ni Joseph Nyamoko na Issa Masoud na Kamanda wa Polisi Manyara ameeleza kuwa mipango ya kusafirisha miili ya askari hao inaendelea kwa uratibu wa Jeshi la Polisi na Familia za wahusika.
Kulingana na wanajamii wa Askari Polisi hao na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kilimahewa andrew Nyambo, amesema Nyamoko ameacha Mke na watoto wawili sawa na Issa ambaye pia ameacha Mke na watoto wake wawili.
Ukweli ni kuwa simu za siku hizi hazivuti radi labda itokee imeunganishwa na chaja ama uwe karibu na vitu virefu ambavyo vina uhusiano mkubwa na radi.Kuna mkufunzi wetu wa ATC aliwah kutuambia kwamba radi haiwez kukupiga eti kisa unatumia kifaa cha electronic
Lakin ajabu nimeshaona matukio kama matatu watu wanapasuliwa na radi kisa redio na simu
Tembelea Milard Ayo TvPicha mkuu
Huna ndugu au shemeji yako askari Hadi ufurahie habari hii?Kama ni askari polisi hiyo imekaa vizuri sana na bado.
Ni kutuonesha kwamba,radi ina akili kumzidi binadamu.Ilifuata kile tu kilichoipeleka/target.No time to waste.No meanders at all!Salaam!
Nichukue muda huu kutoa pole kwa askari wetu wawili waliopoteza MAISHA kwa kupigwa radi mkoani Arusha,
Imeripotiwa kuwa, askari mmoja anatokea Zanzibar na mwingine anatokea Mwanza.
Kilichoshangaza kuhusu tukio hili, ni aina ya radi iliyoangamiza ndugu zetu, ni kuwa, radi hii haikuunguza Jani wala mti karibu na eneo hili kama ambavyo tumezoea kusikiza matukio ya radi.
Wataalamu wa mambo haya, wake kutujuza kuhusu aina hii ya radi.
Source: Milard Ayo
Karibuni 🙏
wanaotwekwa uwaunafurahiaHuna ndugu au shemeji yako askari Hadi ufurahie habari hii?
Radi selective kiasi hiki ni ya ajabu!Ni kutuonesha kwamba,radi ina akili kumzidi binadamu.Ilifuata kile tu kilichoipeleka/target.No time to waste.No meanders at all!
Askari polisi wamegeuka kuwa waovu kuliko hayawani wa mwituni. Ukoo wangu wote hakuna mtu anafànya kazi hii ya laana.Huna ndugu au shemeji yako askari Hadi ufurahie habari hii?