Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,624
- 1,934
Rekebisha title yako. Huyo sio Askofu, ni Padre na Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki.Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇
View attachment 2402032
MAONI YANGU
Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali. Namshauri mama Samia atubu hadharani na kuomba msamaha kwa Allah kwa niaba ya mwendazake ili nchi ipate kupona.
Nawasilisha.