Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwani uongo sasa, jamaa aliepita alitufungua macho.....watu wakirushiwa vimchele kidogo wanapoteana.......upinzani sio lelemama hasa wakujifanya wanaharakati
Ingekuwa kurushiwa tu mchele mtu anakwenda sawa, watu walitekwa na kuhatarishiwa usalama wao, watu walihujumiwa shughuli zao za kuwaingizia vipato ulitegemea nini?