Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

Huh ni unafiki
Jamaa alikuwepo mlikua mnamsifia tuu
Angeongea kipindi kile ningemwelewa sana
 
Mawakala wenu hawakuwa na pesa za kujikimu waliona ujinga wakajiondokea kwenda kutafuta kipato kingine ndio maana nakuona wewe unachukua udaku wa mitandaoni na kufikiri ni uhalisia.

Udaku wa mitandaoni kitu nilichokiona kwa macho! Hela ipi walitakiwa wawe nayo boss. Au njaa ya mawakala ilianza uchaguzi wa 2020? Kuzuiwa kuingia ama kuapishwa nako ni njaa ya mawakala?
 
Afanye kazi aliyoitiwa ,
Kama hawezi , Ni vema akavua Hilo vazi na kufanya siasa


Utawala wa Dunia na Utawala wa Mbingu ni vitu viwili tofauti
Siasa ni maisha; naye kama raia anayo haki ya kutoa maoni ilmradi tu aseme ukweli kama alivyofanya. Wewe kinachokuuma nini? Acheni wizi wa uchaguzi roho zenu zipate kupona. Vinginevyo kila siku mtakuwa mnaweweseka kama watu wenye maruhani kwa sababu ya laana ya wizi wa uchaguzi.
 
Huh ni unafiki
Jamaa alikuwepo mlikua mnamsifia tuu
Angeongea kipindi kile ningemwelewa sana
Kwani sasa kasema uwongo mkuu? Hebu tuambie ukweli ni upi.
 
Kama ni kweli haina haja ya kuomba kwa niaba. Hata yeye ni matokeo ya hicho kilichotokea.
 
Leo utalipwa pesa nyingi na kiongozi wenu huko Lumumba kwa kutupia post nyingi. Endlea kutupia uongeze kipato chako mkuu; kuishi mjini kunahitaji kujituma.
Mimi ni kati ya watz wanaojitambua wanafanyakazi halali sitegemei wanasiasa mkuu
 
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇
View attachment 2402032


MAONI YANGU
Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali. Namshauri mama Samia atubu hadharani na kuomba msamaha kwa Allah kwa niaba ya mwendazake ili nchi ipate kupona.


Nawasilisha.
Wizi ni mbaya sana.
 
Amefanya jambo zuri kukemea, ila ingependeza zaidi kama angekemea wakati wa muhusika mkuu akiwepo, japo pia, naamini waliokuwa wasaidizi wake wameupata ujumbe.
Mmm mfalme Herode asingemwacha Bali angemfanyia kama alivyomfanyia Yohana ambaye alimkosoa kwa kutembea na mke wa nduguye.Alichosema padri kinaweza kisiwafurahishe Maherode waliosalia lakini kwa takwimu alizotoa,ni shetani tu ambaye atabisha kuwa uchaguzi 2020 haukuwa huru
 
Back
Top Bottom