mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Namuongezea na sheikh Ponda1.Tundu Lissu
2.Askofu Shoo
3.Askofu Bagonza
4.Askofu Niwemugizi
5.Mdude et al
Hawa jamaa waliyasema haya chuma JPM akiwa hai!hawakua waoga kabisaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuongezea na sheikh Ponda1.Tundu Lissu
2.Askofu Shoo
3.Askofu Bagonza
4.Askofu Niwemugizi
5.Mdude et al
Hawa jamaa waliyasema haya chuma JPM akiwa hai!hawakua waoga kabisaa!!
Na wizi wa kura za wabunge wetu utasemaje hapo??Muambie ya Mungu ampe Mungu na ya Kaisari ampe Kaisari. Ina maana amepitwa na somo la mamlaka yoyote hutoka kwa Mungu?
Kwa akili hata za mtoto wa chekechea anaamini Tundulisu alishinda uchaguzi?. Hawa maaskofu wa mataifa bwana.
Wewe na wew unaonekana chawa tuu, hata kwa mawazo ya kitoto kuna wabunge wa upinzani ambao kuwatoa kwa wale wapinzani wao wa CCM hata kwa uchawi isingetokea kuwashinda, nakupa mfano: Mrisho Gambo kumshinda Lema unadhani kama sio michezo michafu n nn hicho??Ni uongo upinzani ulishindwa kihalali na kwa akili hizi CCM itaendelea kushinda kwa zaidi ya miaka 100. Upinzani haujajua sababu ya kushindwa bali wanaendeleza propaganda za kisiasa tu ambazo hazitawasaidia.