Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

Jamaa alikua muuaji ,Padre asingeweza kusema hayo kwa wakati ule .Rejea kilicho mpata Askofu Severine Niwe Muguzi.
Huyo mnyaturu hawezi kusema vizuri Magufuli ni tapeli tu na mnafiki walizoea kuiba na kuingiza magari kwa mgongo wa dini!
 
Mimi ni kati ya watz wanaojitambua wanafanyakazi halali sitegemei wanasiasa mkuu
Ila tu unajitoa ufahamu kwa makusudi ili kurefusha mjadala; hapo nimekupata mkuu.
 
Huyo mnyaturu hawezi kusema vizuri Magufuli ni tapeli tu na mnafiki walizoea kuiba na kuingiza magari kwa mgongo wa dini!
Kwani kasema uwongo? Labda tuanzie hapo.
 
Acha ujinga, kazi ya kanisa ni kukataza maovu, CCM ni waovu, ni wezi wa kura ni wezi wa rasilimali za taifa.
CCM inaendekeza tabia ya wizi
CCM ni chanzo cha matatizo yote yanaloliandama taifa hili
Muambie ya Mungu ampe Mungu na ya Kaisari ampe Kaisari. Ina maana amepitwa na somo la mamlaka yoyote hutoka kwa Mungu?

Kwa akili hata za mtoto wa chekechea anaamini Tundulisu alishinda uchaguzi?. Hawa maaskofu wa mataifa bwana.
 
Hayo anayowaambia fisiemu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, ukombozi wa hili taifa ni Mungu mwenyewe aingilie kati.
 
Kama ndo npo church mtumishi wa Mungu anaanza kuongea Mambo Kama hayo Bora nirudi home nikasome kitabu Cha Mungu
 
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇
View attachment 2402032

Nimekubaliana nae, why hakusema kipindi CHUMA JPM yuko hai???ndo maana mm nawakubali wafuatao
1.Tundu Lissu
2.Askofu Shoo
3.Askofu Bagonza
4.Askofu Niwemugizi
5.Mdude et al
Hawa jamaa waliyasema haya chuma JPM akiwa hai!hawakua waoga kabisaa!!
MAONI YANGU
Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali. Namshauri mama Samia atubu hadharani na kuomba msamaha kwa Allah kwa niaba ya mwendazake ili nchi ipate kupona.


Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom