Na wizi wa kura za wabunge wetu utasemaje hapo??
Mfano unadhan Gambo alimshinda Lema kiuhalali??, nimemtaja mbunge wangu ninaye mjua kwa influence power aliyokuwa nayo, fikiria sana acha ku-crush mambo hovyo
Ni uongo upinzani ulishindwa kihalali na kwa akili hizi CCM itaendelea kushinda kwa zaidi ya miaka 100. Upinzani haujajua sababu ya kushindwa bali wanaendeleza propaganda za kisiasa tu ambazo hazitawasaidia.
Wewe na wew unaonekana chawa tuu, hata kwa mawazo ya kitoto kuna wabunge wa upinzani ambao kuwatoa kwa wale wapinzani wao wa CCM hata kwa uchawi isingetokea kuwashinda, nakupa mfano: Mrisho Gambo kumshinda Lema unadhani kama sio michezo michafu n nn hicho??
Nimekupa experience ya mbunge wangu ninaye mjua kwa influence power aliyokuwa nayo