Na wao waache kutumia mimbari ya kanisa kupiga siasa.Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
sasa unategemea upate utajiri kwa posho za kufanya propaganda mitandaoni??
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Nakuonea huruma!sasa unategemea upate utajiri kwa posho za kufanya propaganda mitandaoni??
we tumika tu, utavuna ulichopanda...fainali uzeeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha UCHONGANISHI!Ngumi ya pua Kwa magu
Wapi Mungu alipiga kuraMungu ni mwema wakati wote
Rais Magufuli ni chaguo la Mungu!
At the end uishia kuukimbiza upepo tu
jionee huruma wewe kwanza, mie ninajitegemea kwa 100%...haya ni maisha yasiyo na stress kwasabb unakuwa huru kabisa.
ILA HWAJIMA ANARUHUSIWA KWA KUWA ANAMSIFIA MKULUBishop, fanya huduma acha siasa.....over
Ndio nani huyuHWAJIMA
Mtumishi huyu huyu akimsifia Magu utakuja kumpongeza. Tuache makengezaAsilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Huna hivyo vitu kwasababu huna PESA, ukipata vijipesa kidogo na ukajenga nyumba, either vyote utakua navyo au baadhi ya hivyo; anyway, kwani kuna sehemu askofu kazungumzia issue ya CORONA!? Au mi ndio sijaona?Asilimia 90 ya vitu alivyoviorodhesha mimi sina katika hivyo mimi nina Akili na Imani tu.
Barakoa sivai ndani sijifungii na Corona sipati hii homa imekuzwa sana kuliko uhalisia wa madhara yake.
Corona ni homa ya kawaida ambayo naamini asilimia kubwa ya watanzania wamewahi kuugua kabla lakini walikuwa hawajijui lakini baada ya kuwapata wazungu na kuwaathiri sana ndio shida ilipoanzia.
Mtumishi fanya kazi ya Mungu achana na siasa Watanzania tuchape kazi.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA
Povu lote hili inainekana wewe ni kapuku tu! Wenye mafanikio hatujisemi dogojionee huruma wewe kwanza, mie ninajitegemea kwa 100%...haya ni maisha yasiyo na stress kwasabb unakuwa huru kabisa.
siishi kwa kutegemea posho wala mshahara ili nisiwe mtumwa kama wew ulivyo...hebu jiuliulize nafsini kwako huwa ukionana na Polepole unakuwaje, kama sio kujichekesha chekesha kinafki huku ukimuita boss boss!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni utetezi tu. Kipindi hiki ndio kipindi mahsusi cha kuudhihirisha uwezo wa Mungu huyo anaemhubiri. Ukuu wa Mungu haudhihirishwi na hadithi za maandiko tu. Maandiko pekee ndiyo yanayoweza kudhihirisha nani yuko sahihi na kwa misingi gani. Malumbano ya kurushiana maneno hayasaidii lolote.
a Askofu Bagonza
AKILI na IMANI
Hivi kipi kinaanza? Kipi kinawezesha kingine? Imani ndiyo inakuongoza kuwa na akili au akili inakuongoza kuwa na imani na kuitegemea?
Wanaopuuza umuhimu wa kutumia akili, wawaulize wazazi ambao kwa bahati mbaya wana watoto au jamaa waliopungukiwa na akili, kwa kuzaliwa au kupata tatizo hilo ukubwani. Zawadi kubwa, ya pekee na ya thamani aliyotupa Mungu ni akili. Tunaitumia kutambua na kufanya maamuzi. Hata imani tunayoienzi na kumwamini muumba wetu, tunawezeshwa na akili aliyotupa muumba huyo huyo.
Ndiyo maana pamoja na kwamba Mungu yupo:
1. Tunajenga nyumba na kulala ndani yake, hatulali nje ili Mungu atulinde.
2. Tunajenga uzio mkubwa kuzunguka nyumba, hatuaiachi nyumba ili Mungu atulinde.
3. Tunafuga mbwa wakali, licha ya kuwa na uzio.
4. Tunaajiri walinzi wenye silaha, kana kwamba uzio na mbwa havitoshi.
5. Tunaweka na CCTV kamera licha ya kuwa tuna walinzi, uzio na mbwa wakali.
6. Tunanunua na bima kubwa kuonyesha kuwa wizi bado upo licha ya kuwa tuna yote hayo.
7. Usiku tunaamka mara tatu tatu kuona kama walinzi wapo. Tunaajiri walinzi na wao wanatuajiri kuwachunga usiku.
Pamoja na yote hayo, Mungu aweza kutuchukua kutoka katikati ya ulinzi wote huo. Anatupa akili tuzitumie kujilinda, lakini anabaki na uwezo wa mwisho juu ya maisha yetu.
Hatuwezi kuacha kutumia akili eti kwa sababu yeye yupo. Na hatuwezi kutegemea akili tu eti kwa sababu akili katupa yeye. Imani na akili vyote ni mali ya Mungu, yeye katukabidhi tuvitumie.
TUSIHUKUMIANE na TUSILAUMIANE.