- Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi
- Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa
- Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali
- 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena
- Walio madarakani wanalalamika, mitaani wanalalamika, hata walio madarakani wanalalamika
- Mfumo wa uchaguzi wa kidemokrasia unaozingatia demokrasia unahitajika
- Asema hata CCM ni chama cha upinzani, anayeongoza ni dola sio CCM.
- Analiombea taifa letu amani. Awaonya wanaotaka kuwashughulikia wapenda mabadiliiko wafikiri upya na kuruhusu demokrasia kutendeka