Kama Mkurugenzi haheshimiwi na maamuzi atakayotoa pia hayataheshimiwa! Raisi anapanda ndege ya abiria only in Tanzania vituko haviishagi!Hiyo management ibadilishwe ikibidi serikali itangaze nafasi ya ajira aje mwenye kujielewa aendeshe hilo shirika, walilazimisha kulifufua kwa kuongeza ndege mpya lakini litakufa tena kwa kuwa na uongozi mbovu.
Inafikirisha sana pengine hayati Magufuli alishawekaga order labda! Ila kuwa na midege mingi wakati hali ya uchumi iko hoi ni ujuha kabisa!Bado wanajaza mandege kibao yanayoenda kupaki
KUTOZA KODI WANANCHI MASIKININi eneo gani hasa Tanzania kwa sasa inafanya vizuri!
Report YA CAG ilisema ATCL ilifufuliwa bila kua na business plan.
10% ndo sababu viongozi wanalazimisha wanunue ndege cash ili wachukue Chao mapemaHili shilika ni kama zombie,a walking dead,CEO wake ni kilaza,sijuhi kwa nini serikali Bado inanunua Ndege kwa mapesa Mengi!inawezaka likawa shinikizo la wazungu kutufanya soko la Ndege zao,Ili viwanda vyao viendelee.
Waongo sana ndege zimekuwa zikipokelewa kwa awamu tofauti sana. Wawe wakweli management ni mbovu au la ni hujuma.Je tulipokuwa tunanunua mijindege cash kwa mkupuo, hatukuwaza kuwa zitaenda kwa mkupuo kwenye matengenezo makubwa?
Hayo ni matunda ya fikra zisizoona mbali kwa kisingizio cha uzalendo, na kuona kujimilikisha soko badala ya kuruhusu ushindani, matokeo yake ni kujenga ugoigoi, uvivu na uzembe katika kufanya kazi.ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma
Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya:
1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima
2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili.
3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege kutoka Mwanza kuchelewa kufika
4.Leo nimekesha uwanjani Mwanza (tangu saa Moja jioni Hadi saa 9 alfajiri).
Nashauri kirefu cha ATC kiwe:
"Any Time Cancellation" (ATC).
Tunatia aibu mbele ya wageni.
Pia soma: ATCL yatoa ufafanuzi kuvurugika kwa ratiba za ndege zake, yasema nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa!
View attachment 1899014
Kikwete hakuwa Fala, alivosema tukiruhusu kila kitu kutufanyia polisi Ccm na serikali tutakua tumekwisha kabisa. Haya ndo matokeo yake mkuuShirika linaendeshwa kienyeji, no professionalism at all.
Sababu kuu ya cancellations zisizo na kichwa wala miguu, ni kwamba, fleet zilizopo zipo busy na kuwazungusha watawala badala ya kuwahudumia wananchi.
Rais, Makamo wake, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu na Makamo wa Rais Zanzibar watumie ndege za serikali, ndege za ATCL za abiria zitumike kubebea abiria.
Viongozi Kama wanapenda sana ndege, nawashauri wafuge kuku, bata, kanga na hata bundi iwapo wataweza
Ni eneo gani hasa Tanzania kwa sasa inafanya vizuri!
Na msemaji mkuu wa Serikali kasema kwa kujiamini kabisa jana kuwa wako kwenye mpango wa kununua Dream liner nyingine mbili!!Hilo la kwanza lakini pia huo utetezi unazusha maswali mengi zaidi.. Hivi zinaenda normal service au 'matengenezo makubwa'?
Je zile tuhuma kwamba tuliuziwa mitumba ni za kweli?
Service za bombadia mbili zilitugharimu zaidi ya shilingi bilion 12 vipi haya madege makubwa na matengenezo makubwa?
Mungu anakuona huko uliko kayafa!
Tatizo la nchi yetu ni Uongozi wa Juu kutokana na Katiba mbovu tulionayo. Kiongozi Mkuu anaweza kufanya lolote wakati wote bila kushauriwa/kushauriana na mtu yeyote.Je tulipokuwa tunanunua mijindege cash kwa mkupuo, hatukuwaza kuwa zitaenda kwa mkupuo kwenye matengenezo makubwa?
Siyo kienyeji kijingaShirika linaendeshwa kienyeji, no professionalism at all.
Sababu kuu ya cancellations zisizo na kichwa wala miguu, ni kwamba, fleet zilizopo zipo busy na kuwazungusha watawala badala ya kuwahudumia wananchi.
Rais, Makamo wake, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu na Makamo wa Rais Zanzibar watumie ndege za serikali, ndege za ATCL za abiria zitumike kubebea abiria.
Viongozi Kama wanapenda sana ndege, nawashauri wafuge kuku, bata, kanga na hata bundi iwapo wataweza
Sasa hivi mwenye nyumba pamoja na mpangaji wake wote wanalipa Kodi ya jengo. CCM ni full laana.Genge la wahuni la maccm. Watu wabaya sana hawa na ni maadui wakubwa wa Watanzania.