Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kama Mkurugenzi haheshimiwi na maamuzi atakayotoa pia hayataheshimiwa! Raisi anapanda ndege ya abiria only in Tanzania vituko haviishagi!Hiyo management ibadilishwe ikibidi serikali itangaze nafasi ya ajira aje mwenye kujielewa aendeshe hilo shirika, walilazimisha kulifufua kwa kuongeza ndege mpya lakini litakufa tena kwa kuwa na uongozi mbovu.
Kwanini wasiweke order ya private jets mbona ni bei ndogo kuliko hilo li bombadier la billions of money? Jets zinaanzia 10 billion TZS unapata ila kinachoshindikana sijui ni kitu gani mpaka raisi atembelee ndege ya 300B peke yake na walinzi wake