Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

Wao ndio walizinunua na si kwa ajili ya kuwabeba nyie, waacheni wafaidi matunda yao kwani kutesa ni kwa zamu.
 
Kwa hiyo hii tozo ya uzalendo tunayobanwa kooni ndo inaenda kuendesha shirika mufilisi la ndege, maana sioni kama wanaweza kukusanya hata ya kwenda kumwaga oil ya injini na gearbox achilia mbali hiyo major maintenance. Tusibiria kuona ndege zimepigwa vumbi na siti kuoza kama yale mabasi ya mwendokasi pale jangwani. Sekta binafsi ilikuwa imeshajiimarisha vizuri kwenye sekta ya anga, mkaenda kuvuruga kwa masifa ya kijinga na ushamba uliopitiliza.....
 
Je tulipokuwa tunanunua mijindege cash kwa mkupuo, hatukuwaza kuwa zitaenda kwa mkupuo kwenye matengenezo makubwa?
Waliambiwa haya. Lakini wenye weledi, uzoefu n uthubutu wa kusema walipuuzwa. Badala yake waunga juhudi mkono na common wananchi wavaa nguo za kijani walielekezwa kuangalia juu angani na kupungia madege yetu!!
In this country vichwa ni kwa ajili ya kupeleka saluni ama kubeba vitu vizito!
 
Anasafiri na nguo nyingi sana hivyo ndege ya Rais haiwezi kutosha.
Masanduku ya nguo zake yako mengi sana maana anatakiwa kubadilisha nguo kila baada ya nusu saa ndio masharti alopewa.
 
Anasafiri na nguo na vipodozi vingi wacha atumie ndge kubwa mama wa watu kufa kufaana zali la mentali limemwangukia wacha ajilie zake bata
 
Ukitaka kufahamu umri wa hizi ndege nenda chooni. Hizi ndege hata vikomeo vyake shide, choo zenyewe zinakuonyesha kuwa ni za longi hata kufunga na kufungua kwake ni kwa longi. Mimi karibu nipege kelele kuomba msaada. Tuliuziwa mitumba kwa keshi sababu zilikuwa zipelekwe bangladesh kuwa vyuma chakavu.
 
Anasafiri na nguo nyingi sana hivyo ndege ya Rais haiwezi kutosha.
Masanduku ya nguo zake yako mengi sana maana anatakiwa kubadilisha nguo kila baada ya nusu saa ndio masharti alopewa.
Kwahio mzee baba magu zile vx kama 34 zilikuwa za kubebea mabegi ya suti😅😅😅
 
NAJIULIZA KILA SIKU MBONA PRECISSION WANAFAULU KWA NINI TUSIWAKABIZI ATC WALIENDESHE AU BWANA SHIRIMA APEWE UKURUGENZI MAANA ANAUZEFU SIJAWAHI SIKIA ANAHASARA NA NALIPA KODI ATC HAWALIPI SHIDA IKO WAPI AU KUNAWATU WANAPANDA BURE? AAA NIMEKUMBUKA NDEGE YA WATU 176 INAMBEBA KIONGOZI FULANI KWENDA MWALAWI WAKIWA NANE HAPO HASARA LAZIMA
 
Magufuli angekuwapo ATCL ingefanikiwa tu, kwa sababu alikuwa results-oriented na hakuwa na huruma na upuuzi, japo kwa msimamo huo alikuwa anaudhi wengi sana.
 
Huyu mama anafanya haya for what purpose, anabebana na watu wengi kwenye misafara yake wa kazi gani? kama ulichoandika ni kweli inashangaza, Samia ndio alitupigisha story za kuifufua ATCL kumbe ndio anaimaliza.
endelea kutafuta mke kimboka
 
Yeye mwenyewe anachangia kuua atcl. Safari nyingi anatumia atcl instead ya kutumia ndege ya rais
Kwani akitumia ndege ya rais kunakuwa hakuna gharama? Pia hatujui Kama hiyo ndege imefanyiwa service au ipo/haipo hapa nchini.
 
Kwahio mzee baba magu zile vx kama 34 zilikuwa za kubebea mabegi ya suti[emoji28][emoji28][emoji28]
Nae alikuwa anabadilisha kila baada ya nusu saa?
Basi tumepigwa Watanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…