Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

maajabu kwakweli
 
Maushungi anazurura na ile Airbus kama lakwake binafsi vile..
Airbus ya kubeba abiria 150+...
Sijui kwanini hatumii ndege maalum ya Rais..
Ee MUNGU sasa imetosha.
we una chuki binafsi na dini ya Rais, kwaiyo inakukera anavyovaa ushungi !?
 
Mimi ni shuhuda wa utopolo unaofanywa na ATCL, cancellation imetokea mara 2 wanatuma msg wanakaa kimya mnabaki mnatolena macho kwenye mabenchi, abiria wa Precision Air wanatukuta na wanatuacha hapo.
Mtoa huduma wa airport akanimbia bora hata yetu imechelewa 2 hours anasema huwa hata 5 hours inachelewa wazungu wanakua wekundu balaa wanatukana taifa kwa ujumla.
 
Sasa haya matatizo ndo atuyataki tunataka twende na muda maana unakata tiketi ya sa4 asubui unaondoka sa 6 usiku ilo sio lengo kuondoka usiku!!!! Na juzi kati hapa ndugu yangu anatoka kigoma wamechelewa kutua wanaambiwa tairi za ndege zimegoma kufunguka!!! Ikabidi watue sehemu ambayo sio sahihi na kuja kuchukuliwa ma mabasi plizz bana raisi ebu kaza kidogo sauti wajibika na uwawajibishe wanaohujumu ili shirika ni pesa zetu wananchi izi mnazichezea walahi
 
Wantia Huruma. Kwani matengenezo si yanafanyika kwa ratiba au? ni rahisi kupanga ratiba na kusema siku flani hakutakua na ndege, watu wanajua kabisa wamekosa usafiri kwa wakati flani, kuliko kuruhusu watu wanakata tiketi, siku inafika unawaambia una matengenezo. Hayo matengenezo haukujua kama utakua nayo?
 
Utetezi wa AnyTimeCancell una mawili, shirika linaendeshwa kama daladala au hawajawahi kusikia planned maintanace. Huku mtaani tunamaanishwa ndege zinaendeshwa na planned maintanance.
 
Hili swali sijawahi jibiwa.
Ni taasisi gani ya umma inayofanya vizuri Tanzania!!??
Ninakuelewa kwa swali lako; ila nina wasiwasi moja juu yake.

Bila shaka huna maana pana na potofu inayotumiwa na baadhi ya watu, kwamba "taasisi ya umma haiwezi wala haitegemewi kufanya vizuri".

Sijui kama nawe ni mmoja wa watu wenye dhana hii!
 
Ongezea na hii
 
Hili shilika ni kama zombie,a walking dead,CEO wake ni kilaza,sijuhi kwa nini serikali Bado inanunua Ndege kwa mapesa Mengi!inawezaka likawa shinikizo la wazungu kutufanya soko la Ndege zao,Ili viwanda vyao viendelee.
Huyu???
 
Mkuu, tatizo linaanza na watu kama wewe, mnaoona aibu kusema tatizo lipo wapi hasa.

Serikali, kwani serikali ni kitu gani.
Hebu eleza, serikali inafanya kazi vizuri, ila mashirika yake ndiyo hayafanyi vizuri?

Kwa nini hupendekezi tubinafsishe serikali nzima kama ndiko kuliko na uozo, au la basi tuiondoe serikali yote tuweke inayoweza kufanya kazi itakiwavyo.
 
Mnalialia nini?? Kwani mmelazimishwa kutumia ndege za ATCL?

Mimi huwa natumia ndege za Precsion Air na wala sina habari na hao ATCL.
 
Aione cariha . Anasema tusihoji ni kwa nini ndege ya ATC inachukuliwa na rais huku abiria wakikosa usafiri.
 
Reactions: BAK
INTARAHAMWE wenzake watamuunga mkono sana kwenye huu uzi[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…