Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
jieleze kulingana na mtazamo wako binafsi na sio kumpamba mtu ambae si kitu ndani ya taasisi yake.Kirusi hiki cha mfumo hovyo wa ki - CCM wa utawala na uchaguzi si tu umeharibu nchi kiasi hiki tuonavyo....
Bali umeshaingia na kuathiri kila mahali i.e familia, taasisi za umma, za kidini na kuchafua kila kitu....
Kashfa Tegeta Escrow Account mwaka 2013, wanasiasa wachafu wa CCM waliingia mpaka makanisani wakahonga maaskofu, wakahonga majaji na kuchafua kabisa taswira ya u - KRISTO...
Kama Askofu hulalamikia rafu ndani ya chaguzi ktk kanisa lake, basi tambua kuwa hizi ndizo athari hasi za mfumo mbovu wa kisiasa na utawala tuluonao hapa nchini kwetu kwa sbb umeingia kila mahali na kuchafua...
Na hii ndiyo maana kutaka REFORMS ili kusafisha uchafu kila mahali ktk nchi yetu...
hata hivyo,
kama taifa,
changamoto, dosari au kasoro ndogondogo za kibinadamu au vinginevyo hazijawahi kutufanya kama taifa kukosa kupiga hatua za kimaendeleo kisiasa, kijamii na kiuchmi.
Changamoto hizo daima zimekua fursa muhimu sana ya kujisahihisha, kujirekebisha na kujipanga kikamilifu kufanya vizuri zaidi tuendako kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
kubabaika, kususa , kugoma na kuzira kubaki kwa huyo unaemuita Askofu, kwako binafsi na kwa chama chako. Wengine tunasonga mbele kwa bidii sana bila mbambamba yoyote ya kibaka au tapeli wa kisiasa nchini 🐒