Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

1. PENTENSTESHENI
2.ASKOFU RUWACHA
3.BABA MTAKATIFU WA 16
4.PAPA LEO WA 16.
5.WAKORONTIO
6.13 MPAKA 10
7.FATHER KITIMA WA TIC
8.MWAMBA MWAMBA
9.WALILEI
10.WAROMA.
 
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
lakini askofu kalikawe,
mbona alipochaguliwa Askofu Dr.Malasusa kua mkuu wa kkkt kwa mara nyingine ulikasirika sana na ukazira ukaondoka kabla ya mkutano wa uchaguzi haujaisha?

wale maaskofu wenzako waliokudanganya eti wewe unafaa zaidi halafu wakakuacha kwenye mataa siku ya uchaguzi mnasemezana kweli nowdays?

ila kalikawe bana, una visanga vingi mno vianavychafua uaskofu wako hasa vya kingono ,

sahau kwamba eti kuna siku utakua mkuu wa kkkt, wasikudanganye tena kisha wakala pesa zao na kutokomea siku ya uchaguzi.

karagwe mafichoni panakufaa zaidi :pedroP:
 
Back
Top Bottom