Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

Wewe upo huru kiasi gani?
Ukiwa nje ya siasa unakuwa huru kabisa,unafanya mambo yako safi wala hunakinyongo na mtu.
ila ukijiingiza kwenye siasa hata ukijikwaa njiani utaona CCM au serikali ndo imesababisha wewe ujikwae njiani.
 
Soma uelewe mada sio kukariri ulichoambiwa na wapenzi wako
Makamanda mnahali ngumu sana kwakweli.
hapo kunamada gani zaidi ya umbea tu.

"haya ngoja basi nikachukue buku saba"voice by makamanda wa mitandaoni[emoji23]
 
Ujumbe bora sana, ila ni fikirishi. Kama ambavyo mfungwa angeuliza cha tatu baada ya kupewa options mbili mimi pia nina cha tatu cha kukuliza.

Bahati haipo kwangu nitajibiwa na justin mwanshinga na sio Bagonza. Hauto nisaidia kwa kuwa nilitaka nipate mawazo yake mwenyewe,

Maisha ya ushindani huwa hayatoi nafasi kwa dhalili kushinda. :
1) Unamshauri nini dhalili baada ya kushindwa ?.
2) Na unamshauri nini MSHINDI baada ya kushinda ?.
 
Hayati Uhuru Kenyatta; "Mimi ninaongoza Wakenya walio lala usingizi kesho wakiamka watahoji, lakini jirani yangu yeye anangoza wafu". Na kweli baada ya miaka kadhaa Wakenya walipo amka kutoka usingizini KANU iliondoka madarakani!!!
 
Mzee Bagonza maombi yake yote kwa Lissu ili awe Rais yamegonga mwamba.
Nani kakwambia yamegonga mwamba?. Umekariri bro! Kwani JAMAA atakuwa rais Wa tz milele, time will tell bro! MUNGU hawahi wala hachelewi, labda kama hujawahi kufanya maombi yeyote UKAJUA.
 
Huyu askofu anatafuta kurogwa? Huku Tanzania watu wa CCM wakikuona una akili chanya wanaanza kukuita beberu, mwisho wa siku wanakupa kesi ya uhujumu uchumi
 
Hayati Uhuru Kenyatta; "Mimi ninaongoza Wakenya walio lala usingizi kesho wakiamka watahoji, lakini jirani yangu yeye anangoza wafu". Na kweli baada ya miaka kadhaa Wakenya walipo amka kutoka usingizini KANU iliondoka madarakani!!!
Ndo maana ujambazi mwingi Kenya.
 
Makamanda mnahali ngumu sana kwakweli.
hapo kunamada gani zaidi ya umbea tu.

"haya ngoja basi nikachukue buku saba"voice by makamanda wa mitandaoni[emoji23]
Na huu ni Ushindi wa kishindo cha awamu pendwa
 
Huo haukuwa ushindi wa kishindo , bali ulikuwa uporaji wa kishindo , a rape of democracy i have never seen in the world .
 
Back
Top Bottom