Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

Bagonza nlimuonya kwamba yeye ni kiongozi wa tasisi kubwa nchini, sasa kwakuwa amejichagulia upande wa kushabikia ataumia sana.

Alikuwa akipanda kwenye jukwaa kwa Lisu anasema uchaguzi huu ni kati ya mungu aliemuokoa Lisu na risasi 16 na wa Mungu wa Magu alieondoa korona kwa maombi.

Bagonza mpaka leo haamini kama Mungu ni mkubwa kuliko corona. Ndio maana mimi nakonaga kale kajamaa hata hirizi katakuwa nazo. Ndio maana wakati wenzie wameungana na Magu kufunga kwa maombi yeye aliungana na shetani akafunga makanisa.

Wahaya wana shida sana, kwa dharau zile za Bagonza kisa ule udokta wake, basi yeye kwake Mungu si lolote mbele ya phd yake.
Ebu wasilisha maoni yako mbadala - huna haja ya kutaja kabila - hivi nyinyi hizi tabia zenu zinazo kuwa driven na rabid hatred ya kabila la Wahaya - mpaka lini??

Nakushauri wasilisha maoni yako mbandala without resorting to abrasive language and inept innuendoes, kumbuka Watanzania wana akili za kuchambua mchele kutoka kwenye pumba.
 
Hahaha ccm walisema chadema inawachelewesha sasa tuone walitaka kwenda na kufika wapi maana wako peke yao nchi nzima.

Muwaache waibe mpaka waanze kuibiana wenyewe kwa wenyewe.

Hawawapendi wazungu lakini wanatamani kuifanya Tanzania iwe kama ulaya.
 
" Checks&Balance" ndio salama yetu. Leo Polex2 clouds ," nakwenda bungeni kwa majukumu 2, kuwasimamia wabunge ccm itikadi na ubunge" Haya ma Lushindo/ kishindo ni aibu na fedheha.
 
USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA

Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi?

Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali nyingi ziko hivyo. Zinahitaji kusimamiwa, kuchunguzwa, kukosolewa ili zifanye vizuri. Hata katika ulimwengu wa Imani, uwepo wa shetani ni msingi wa jitihada za kufundisha uadilifu.

Marekani wamemaliza Uchaguzi wao. Urais umeenda kwa chama Cha Democrat kwa kupata viti 306 dhidi ya 232 vya Trump (electoral colleges).

Bungeni (Cogress), Democrat wamepata viti 232 dhidi ya 197 vya Republican.

Kwenye Senate Republican wamepata viti 50 dhidi ya 48 vya Democrat. Viti 2 bado kuchaguliwa.

Kwa hiyo Rais mteule Biden atakuwa Ikulu bila kuwa na wingi wa kutisha wa wabunge na kwenye Senate chama pinzani ndicho kina viti 2 zaidi ya chama tawala. Hali hii inaweza kubadilika baada ya miaka miwili utakapofanyika Uchaguzi mdogo wa baadhi ya majimbo ya Bunge na senate. Kwenye uchaguzi huo, Biden anaweza kukosa wingi kwenye bunge na senate. Kwa nini?

1. Wamarekani hawapendi kuweka mayai yote kikapu kimoja (urais, ubunge na useneta). Ukipewa urais unanyimwa ama wabunge au maseneta ili ujifunze kushirikiana na wapinzani kwa kutumia hoja siyo bunduki.

2. Check and balance (kuwajibishana) ni msingi maamuzi ya kila kitu. Hata kwenye vyombo vya habari ni lazima kikisemwa kitu sharti upande wa pili uwekwe ili wasomaji/ wasililizaji wajue pande mbili na kuamua wenyewe.

Kimantiki, ushindi wa kishindo chaweza kuwa chanzo cha mdororo wa Maendeleo katika bara letu linalopenda sana neno NDIYO. Tabia ya kuchukia maoni tofauti inadumaza utundu, ugunduzi, na ubunifu. Badala yake dhana ya NDIYO inakomaza kukariri, woga, utii usio na dhamiri na kuondoa uendelevu(sustainability) katika maamuzi mengi. Mfumo wa Elimu ndilo jiko la kupika Taifa linalohoji au linaloimba NDIYO kwa kila kitu.

Mfungwa katika mfumo wa NDIYO akiwekewa mkate na funguo za gereza akaambiwa achague moja, atachagua mkate.

Mfungwa katika gereza la KWA NINI, akiwekewa hivyo viwili, anaweza akahoji kwa nini si vitatu badala ya KUCHAGUA kama alivyoelekezwa.

Zawadi ya mfungwa ni Uhuru si sabuni ya kuoga akiwa gerezani. Kumwachia huru mfungwa ni sawa na kumweka huru Askari magereza anayemlinda. Hiyo ndiyo faida kuu ya Uhuru. Unanufaisha pande zote.

Mbona kwenye jimbo lake la Dayosisi ya KKKT ya Karagwe Bagonza ameweka mayai yote katika kikapu kimoja na amebadili katiba ili awe Askofu wa kudumu? Kinachoendelea katika Jimbo lake kinamwondolela uhalali wa kimaadili wa kumnyoshea kidole dikteta yeyote. Uhakika ni kwamba, pale Jimboni kwake Askofu Bagonza ni dekteta mkubwa zaidi kuliko anavyodaiwa kuwa Jiwe....
 
Mzee Bagonza maombi yake yote kwa Lissu ili awe Rais yamegonga mwamba.
Rais Magufuli alituomba sana tumuombee na tuliombee taifa letu na biblia inasema maombi ya mwenye haki ni manukato mbele za Mungu

Na pia biblia pia inasema tusiwaseme viongozi wa dini vibaya na tuzitii mamlaka za dunia kwani mamlaka zote zatoka kwa Mungu. Niishie hapo tuu, mimi ni nani nimgombanishe askofu, shehe au rais na Mungu?!
 
Wahuni wa maccm hawataki kuliona hilo. Chama kiko madarakani kwa kutumia njia za haramu wizi na mauaji kwa zaidi ya miaka 60.
Ndiyo maana Marekani ni taifa tajiri sababu ya mifumo yao mizuri siyo kuwa na MUNGU mtu
 
USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA

Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi?

Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali nyingi ziko hivyo. Zinahitaji kusimamiwa, kuchunguzwa, kukosolewa ili zifanye vizuri. Hata katika ulimwengu wa Imani, uwepo wa shetani ni msingi wa jitihada za kufundisha uadilifu.

Marekani wamemaliza Uchaguzi wao. Urais umeenda kwa chama Cha Democrat kwa kupata viti 306 dhidi ya 232 vya Trump (electoral colleges).

Bungeni (Cogress), Democrat wamepata viti 232 dhidi ya 197 vya Republican.

Kwenye Senate Republican wamepata viti 50 dhidi ya 48 vya Democrat. Viti 2 bado kuchaguliwa.

Kwa hiyo Rais mteule Biden atakuwa Ikulu bila kuwa na wingi wa kutisha wa wabunge na kwenye Senate chama pinzani ndicho kina viti 2 zaidi ya chama tawala. Hali hii inaweza kubadilika baada ya miaka miwili utakapofanyika Uchaguzi mdogo wa baadhi ya majimbo ya Bunge na senate. Kwenye uchaguzi huo, Biden anaweza kukosa wingi kwenye bunge na senate. Kwa nini?

1. Wamarekani hawapendi kuweka mayai yote kikapu kimoja (urais, ubunge na useneta). Ukipewa urais unanyimwa ama wabunge au maseneta ili ujifunze kushirikiana na wapinzani kwa kutumia hoja siyo bunduki.

2. Check and balance (kuwajibishana) ni msingi maamuzi ya kila kitu. Hata kwenye vyombo vya habari ni lazima kikisemwa kitu sharti upande wa pili uwekwe ili wasomaji/ wasililizaji wajue pande mbili na kuamua wenyewe.

Kimantiki, ushindi wa kishindo chaweza kuwa chanzo cha mdororo wa Maendeleo katika bara letu linalopenda sana neno NDIYO. Tabia ya kuchukia maoni tofauti inadumaza utundu, ugunduzi, na ubunifu. Badala yake dhana ya NDIYO inakomaza kukariri, woga, utii usio na dhamiri na kuondoa uendelevu(sustainability) katika maamuzi mengi. Mfumo wa Elimu ndilo jiko la kupika Taifa linalohoji au linaloimba NDIYO kwa kila kitu.

Mfungwa katika mfumo wa NDIYO akiwekewa mkate na funguo za gereza akaambiwa achague moja, atachagua mkate.

Mfungwa katika gereza la KWA NINI, akiwekewa hivyo viwili, anaweza akahoji kwa nini si vitatu badala ya KUCHAGUA kama alivyoelekezwa.

Zawadi ya mfungwa ni Uhuru si sabuni ya kuoga akiwa gerezani. Kumwachia huru mfungwa ni sawa na kumweka huru Askari magereza anayemlinda. Hiyo ndiyo faida kuu ya Uhuru. Unanufaisha pande zote.
Ushindi wa kishindo unakuwa mwanzo na chanzo cha "mdororo wa maendeleo" kutokana na vita ya kiuchumi zinazopigwa tawala hizo zilizoshinda kwa kishindo. Hii ni kwa sababu sasa hawawapi nafasi vibaraka na wakoloni mamboleo kuwanyonya na kuwaibia utajiri wao wa asili. Hii ndiyo hali halisi inayotokea kwenye nchi zinazowakataa vibaraka kuingia madarakani na hivyo kuwanyima hiyo fursa ya kufanya wizi, ujangiri na ujambazi wa kiuchumi kwenye nchi hizo. LAKINI kwa walioshindwa hawatakosa maneno ya visingizio na utetezi kama huu kutoka kwa vibaraka wao chini ya kisingizio cha kuibiwa kura, kunyimwa "a level playing ground" na "ukosefu wa demokrasia" na mengine mengi ya aina hiyo.
 
Ukiwa nje ya siasa unakuwa huru kabisa,unafanya mambo yako safi wala hunakinyongo na mtu.
ila ukijiingiza kwenye siasa hata ukijikwaa njiani utaona CCM au serikali ndo imesababisha wewe ujikwae njiani.

Na utatoka vipi kwenye siasa wakati kuna ndugu zako wamebambikizwa kesi za ugaidi ?? wengine wamepigwa risasi , wengine tunadaiwa kulipa shuleni , wengine tunapoumwa madakitari wanataka kitu kidogo watuhudumie kwani mshahara hauwawatoshi , list haishi
 
USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA

Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi?

Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali nyingi ziko hivyo. Zinahitaji kusimamiwa, kuchunguzwa, kukosolewa ili zifanye vizuri. Hata katika ulimwengu wa Imani, uwepo wa shetani ni msingi wa jitihada za kufundisha uadilifu.

Marekani wamemaliza Uchaguzi wao. Urais umeenda kwa chama Cha Democrat kwa kupata viti 306 dhidi ya 232 vya Trump (electoral colleges).

Bungeni (Cogress), Democrat wamepata viti 232 dhidi ya 197 vya Republican.

Kwenye Senate Republican wamepata viti 50 dhidi ya 48 vya Democrat. Viti 2 bado kuchaguliwa.

Kwa hiyo Rais mteule Biden atakuwa Ikulu bila kuwa na wingi wa kutisha wa wabunge na kwenye Senate chama pinzani ndicho kina viti 2 zaidi ya chama tawala. Hali hii inaweza kubadilika baada ya miaka miwili utakapofanyika Uchaguzi mdogo wa baadhi ya majimbo ya Bunge na senate. Kwenye uchaguzi huo, Biden anaweza kukosa wingi kwenye bunge na senate. Kwa nini?

1. Wamarekani hawapendi kuweka mayai yote kikapu kimoja (urais, ubunge na useneta). Ukipewa urais unanyimwa ama wabunge au maseneta ili ujifunze kushirikiana na wapinzani kwa kutumia hoja siyo bunduki.

2. Check and balance (kuwajibishana) ni msingi maamuzi ya kila kitu. Hata kwenye vyombo vya habari ni lazima kikisemwa kitu sharti upande wa pili uwekwe ili wasomaji/ wasililizaji wajue pande mbili na kuamua wenyewe.

Kimantiki, ushindi wa kishindo chaweza kuwa chanzo cha mdororo wa Maendeleo katika bara letu linalopenda sana neno NDIYO. Tabia ya kuchukia maoni tofauti inadumaza utundu, ugunduzi, na ubunifu. Badala yake dhana ya NDIYO inakomaza kukariri, woga, utii usio na dhamiri na kuondoa uendelevu(sustainability) katika maamuzi mengi. Mfumo wa Elimu ndilo jiko la kupika Taifa linalohoji au linaloimba NDIYO kwa kila kitu.

Mfungwa katika mfumo wa NDIYO akiwekewa mkate na funguo za gereza akaambiwa achague moja, atachagua mkate.

Mfungwa katika gereza la KWA NINI, akiwekewa hivyo viwili, anaweza akahoji kwa nini si vitatu badala ya KUCHAGUA kama alivyoelekezwa.

Zawadi ya mfungwa ni Uhuru si sabuni ya kuoga akiwa gerezani. Kumwachia huru mfungwa ni sawa na kumweka huru Askari magereza anayemlinda. Hiyo ndiyo faida kuu ya Uhuru. Unanufaisha pande zote.
Mlengo wa huyu askofu ni upi?
 
Ushindi wa kishindo unakuwa mwanzo na chanzo cha "mdororo wa maendeleo" kutokana na vita ya kiuchumi zinazopigwa tawala hizo zilizoshinda kwa kishindo. Hii ni kwa sababu sasa hawawapi nafasi vibaraka na wakoloni mamboleo kuwanyonya na kuwaibia utajiri wao wa asili. Hii ndiyo hali halisi inayotokea kwenye nchi zinazowakataa vibaraka kuingia madarakani na hivyo kuwanyima hiyo fursa ya kufanya wizi, ujangiri na ujambazi wa kiuchumi kwenye nchi hizo. LAKINI kwa walioshindwa hawatakosa maneno ya visingizio na utetezi kama huu kutoka kwa vibaraka wao chini ya kisingizio cha kuibiwa kura, kunyimwa "a level playing ground" na "ukosefu wa demokrasia" na mengine mengi ya aina hiyo.

Na vipi hawa viongozi wanaouwa watu ili kujibakiza madarakani?? wengine wanawachukulia watu mashamba yao na kujimilikisha wao, kama huyu Mzee Mwinyi na marehemu Mkapa ?? na huyu mfalme wa Chato kule Tanga ?? Na wengine wananunua ndege bila kutaja walinunua kwa bei gani ?? na wengine wanapewa hela na hao mabeberu wa EU za kusaidia wenye corona , wanazitafuna bila wasiwasi.??? listi ni ndefu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Rais Magufuli alituomba sana tumuombee na tuliombee taifa letu na biblia inasema maombi ya mwenye haki ni manukato mbele za Mungu

Na pia biblia pia inasema tusiwaseme viongozi wa dini vibaya na tuzitii mamlaka za dunia kwani mamlaka zote zatoka kwa Mungu. Niishie hapo tuu, mimi ni nani nimgombanishe askofu, shehe au rais na Mungu?!

Aliomba kwa biblia ipi ??
 
USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA

Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi?

Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali nyingi ziko hivyo. Zinahitaji kusimamiwa, kuchunguzwa, kukosolewa ili zifanye vizuri. Hata katika ulimwengu wa Imani, uwepo wa shetani ni msingi wa jitihada za kufundisha uadilifu.

Marekani wamemaliza Uchaguzi wao. Urais umeenda kwa chama Cha Democrat kwa kupata viti 306 dhidi ya 232 vya Trump (electoral colleges).

Bungeni (Cogress), Democrat wamepata viti 232 dhidi ya 197 vya Republican.

Kwenye Senate Republican wamepata viti 50 dhidi ya 48 vya Democrat. Viti 2 bado kuchaguliwa.

Kwa hiyo Rais mteule Biden atakuwa Ikulu bila kuwa na wingi wa kutisha wa wabunge na kwenye Senate chama pinzani ndicho kina viti 2 zaidi ya chama tawala. Hali hii inaweza kubadilika baada ya miaka miwili utakapofanyika Uchaguzi mdogo wa baadhi ya majimbo ya Bunge na senate. Kwenye uchaguzi huo, Biden anaweza kukosa wingi kwenye bunge na senate. Kwa nini?

1. Wamarekani hawapendi kuweka mayai yote kikapu kimoja (urais, ubunge na useneta). Ukipewa urais unanyimwa ama wabunge au maseneta ili ujifunze kushirikiana na wapinzani kwa kutumia hoja siyo bunduki.

2. Check and balance (kuwajibishana) ni msingi maamuzi ya kila kitu. Hata kwenye vyombo vya habari ni lazima kikisemwa kitu sharti upande wa pili uwekwe ili wasomaji/ wasililizaji wajue pande mbili na kuamua wenyewe.

Kimantiki, ushindi wa kishindo chaweza kuwa chanzo cha mdororo wa Maendeleo katika bara letu linalopenda sana neno NDIYO. Tabia ya kuchukia maoni tofauti inadumaza utundu, ugunduzi, na ubunifu. Badala yake dhana ya NDIYO inakomaza kukariri, woga, utii usio na dhamiri na kuondoa uendelevu(sustainability) katika maamuzi mengi. Mfumo wa Elimu ndilo jiko la kupika Taifa linalohoji au linaloimba NDIYO kwa kila kitu.

Mfungwa katika mfumo wa NDIYO akiwekewa mkate na funguo za gereza akaambiwa achague moja, atachagua mkate.

Mfungwa katika gereza la KWA NINI, akiwekewa hivyo viwili, anaweza akahoji kwa nini si vitatu badala ya KUCHAGUA kama alivyoelekezwa.

Zawadi ya mfungwa ni Uhuru si sabuni ya kuoga akiwa gerezani. Kumwachia huru mfungwa ni sawa na kumweka huru Askari magereza anayemlinda. Hiyo ndiyo faida kuu ya Uhuru. Unanufaisha pande zote.
 
Ndiyo maana Marekani ni taifa tajiri sababu ya mifumo yao mizuri siyo kuwa na MUNGU mtu
Wanafikiri kukubali upinzani ni kuipinga serikali. Ask. Bagonza ana maana kubwa katika hili. Upinzani ni kitu cha lazima
 
Back
Top Bottom