TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Mataga ndio wanatuharibia mijadalaMkuu, tukuombe uwatafsirie MATAGA uzi huu kwa lugha nyepesi kwani ninaamini wote wametoka hola hapa!
Hawataki kwenda deep
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga ndio wanatuharibia mijadalaMkuu, tukuombe uwatafsirie MATAGA uzi huu kwa lugha nyepesi kwani ninaamini wote wametoka hola hapa!
Umeelewa alichokisema ?!. Aisee kuwa mfuasi wa kusifu na kuabudu ni utumwa [emoji3517]Mzee Bagonza maombi yake yote kwa Lissu ili awe Rais yamegonga mwamba.
Wewe mwenyewe unajua hayakugonga mwamba, mlichofanya mnakijua...
Pia ungejikita kujibu hoja ungeonekana MTU kuliko vijembe ulivyotoa hapo juu
Yah right. Yamegonga jiwe... Lile jiwe lililojichimbia chini kuliko mawe mengine😅😅😅😅Mzee Bagonza maombi yake yote kwa Lissu ili awe Rais yamegonga mwamba.
Unazidi kutibitisha hilo
Tabia ya mataga hiyo, sisi wapenda haki hatuko na dhaeau na matusi
Actually nashukuru umeleta hiyo clipUngekuwa mpenda haki usingeandika UPUUZI ulioandika. Hata Mwalimu alikuwa mpenda haki lakini hakukwepesha kusema ukweli pale ulipohusu. Mimi sirembeshi unapoandika pumba/upuuzi.
NYERERE: KUNA WANASIASA WANANUNULIKA, HESHIMA YAO INA BEI - YouTube
Wao wana rais wa 45 wakati sisi ni 5 tu !!Ndiyo maana Marekani ni taifa tajiri sababu ya mifumo yao mizuri siyo kuwa na MUNGU mtu
Mbona waliandamana mkawapiga virungu na risasi au ulitaka na wao watafute bunduki na vifaru waandamane navyo mitaani kama pia na wao wakodishe jeshi la Burundi?Ni maneno ya siasa ayo.
Iyo list yako yoote imekataa kuandamana inamaana wameridhika na maisha yao na bado mnaemtuhumu akipitana msafara barabarani wanajaa barabarani uku wakimshangilia.
South Africa wana Rais wa ngapi? je tuna wazidi maendeleo?Wao wana rais wa 45 wakati sisi ni 5 tu !!
hatuwezi kufanana nao kwa mengi iwe mazuri au mabaya.
Tazama ulichokiandika kisha urejee kushirikisha ubongo itakiwavyo utaelewa ulichokiandika hakifanani na utakiwavyo kuwa.Makamanda mnahali ngumu sana kwakweli.
hapo kunamada gani zaidi ya umbea tu.
"haya ngoja basi nikachukue buku saba"voice by makamanda wa mitandaoni[emoji23]
Juhudi yako inaonekana tatizo teuzi ni chache na zina wenyewe!!! Mwisho wa siku wengi wanaotumika hubaki jalalani wakijuta na kulalama huku wengine wakihama kwa hasira kuelekea upande wa pili kujifariji... tunawajua 😀 😀Kabakiza mipasho tu.
Labda swali la uelewa hao South Africa wametambulika kama taifa huru mwaka gani ?South Africa wana Rais wa ngapi? je tuna wazidi maendeleo?
1994Labda swali la uelewa hao South Africa wametambulika kama taifa huru mwaka gani ?
Tanzania ni 1961.
Diamond anasema umeingia CHOO CHA KIKE.1994