Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Ndo kishakosoa hivyo. Waalimu wote waliokimbia shule na kwenda kwenye siasa wakamatwe na vyama vyao vifutwe mara 1 Msweet wa jfMwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Wewe ni kiongozi wa serikali.Koma kabisa.Huyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Hahahaaaa Dah!Waacheni waisome namba hao wafanyakazi wa serikali, si walimpigia wenyewe kampeni mpaka kwenye wodi za wagonjwa mahututi na mochwari huko mahospitalini.
Mpaka muda huu, ninaamini huyo dokta ameshalazwa kwa presha huko alipo. Anajiuliza sijui ameandaliwa ya "UHUJUMU UCHUMI" au labda ya "UCHOCHEZI" au ya "KUSHIRIKI KWENYE GENGE LA UHALIFU" au ya "KUMLAWITI MGONJWA KINYUME NA MAUMBILE".
Hapa unamchokoza jiwe.Na walimu walioacha ualimu wakaingia kwenye siasa kwa ajili ya maslahi.wakamatwe na vyama vyao vifutwe kabisa.
Mahindi ghalani kwa bibi yako wa kambohivi tukiweka Lockdown hata kwa miezi miwili hawa wakina Bagoza watakula nini
wapo wanaanzia chekechea mpaka university ni kwa wamishionari tu, usishangae kuhusu hilo.Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Kuna hawana wazazi,kanisa lasomesha tangu vidudu MkuuSerikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
wewe utakua Bagoza bila shakaMahindi ghalani kwa bibi yako wa kambo
Kwamba hili ni kosa?Natumaini hamkumwelewa. Ni hivi wewe umepata kazi serikalini wako ambao wamekosa unaajiriwa halafu unakimbia ajira. Lakini kama umemaliza na wala hukuangaika kutafuta kazi serikalini hakuna atakaye kufuatilia utakumbana na deni lako hukohuko uliko. Lakini umeajiriwa serikalini umechukua mshahara umechukua na malipo ya kituo cha kazi halafu unaacha kisolemba huo ni uhuni na wizi. Kwa nini tangu mwanzo usiache kuajiriwa kwa sababu ya mshahara mdogo.
KunyaNinye ni sinye?
Kamoooonn