Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Mpaka uwe na uelewa ndiyo utajua kuwa uchumi ni tegemezi. Bila mambo ya msingi, uchumi hauwezi kujengeka.Katiba mpya inamsaidiaje bibi yako kijijini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka uwe na uelewa ndiyo utajua kuwa uchumi ni tegemezi. Bila mambo ya msingi, uchumi hauwezi kujengeka.Katiba mpya inamsaidiaje bibi yako kijijini
askofu mwanaharakati.
anauejificha kwenye dini.
Sababu Martin Luther hakuwa muogaHarafu maaskofu wa kkkt huwa wa nakubali sana wamenyooka sana hawaigopi kusema msimamo wao na kile wanachokiamini
Huna akili.Katiba mpya inamsaidiaje bibi yako kijijini
Jambazi kuu lilishaenda zake, kwisha kabisa... kaputiIngekua hivyo tuu majambazi na wauaji wote wangeshazimwa
Ila ukweli ni kwamba kila nafsi itaonja mauti na Mungu huruhusu kifo kwa amtakaye, haijalishi ni mzee au kijana au mtoto mdogo
SASA kuwa Sawa ni nini?... Target ya kuwa Sawa ni ipi kama hapa Duniani hakuna nchi iko Sawa, tunapata wapi Reference?!Huo ndio ukweli. Hakuna nchi ambayo ipo sawa, hata China, Japan na Marekani bado haziko sawa
Katiba mpya ni hapana hapana kwa maana katiba iliyopo inapata najisi kubwa sana, tuanze kwa kuiheshimisha hii iliyopo, imbeni utawala wa sheria na katiba kanuni na miongozo ya haki na rafiki, ukomavu wa kisiasa wa katiba pendekezwa kwa Tanzania bado sana.Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"...
Mkuu Pole Sana Yaani Hadi leo Haujui Adui wa Taifa Hili...Basi Usikiapo Neno "CCM" jibu ni Hilo. CCM ndiye Adui Number 01, na Mengine ni Cha Mtoto tu.... uko ushahidi wa wazi kwamba hata Malaika Mkuu Gabrieli aingie CCM ndani ya muda mfupi sana atakuwa polluted tu! Mna haja tena ya kutafuta kujua adui wa nchi hii ni nani?
Uzuri ni kwamba marais wetu wa awamu zote,walikuwa na imani sana kwa viongozi wetu wa dini.Hivyo nawashauri viongozi wa dini toeni ushauri kwa Rais bila kuchoka katika mambo muhimu ambayo ni hitaji la jamii kwa sasa.sisi wengine wengi sana hatuna nafasi bado ya kukaa karibu na Rais na kumpa ushauri kama inavyotokea kwenu. Hivyo itumieni hiyo fursa kwa hekima kubwa kwa manufaa ya nchi.Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"....
Huyu askofu tangia nianze kumsikia, hajawahi kuuma ulimi.Samahani, hongera askofu kwa kumpongeza mama Samia, ila day akitokea kiongozi yoyote ambae ataongoza nchi kibabe msiache kuongea ukweli pia kumwambia ukweli.