Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

Katiba mpya ni turufu ya mama...kuda utasema....2024
 
Mama anacheka na nyani ... sisi Watz hatutaki katiba mpya wewe mbelgiji mweusi unasemaje?
Katiba mpya ni haki yetu wananchi/wtz na sio hisani ya watawala na nyie vibaraka wao mnaofaidika na Katiba mbovu.
 
Huyu Askofu tangu enzi ya utawala wa dikteta alikuwa anaongea na hajawahi kuogopa, ndiyo maana aliitwa uhamiaji kuwa siyo raia.
askofu mwanaharakati.
anauejificha kwenye dini.
 
Uchumi ni Endelevu sio swala la Mwaka mmoja au miwili hivyo hakuna Siku tutasema sasa Uchumi wetu umekuwa tuache kushughulikia Uchumi tushughulikie Katiba.

Serikali ina Matumizi Makubwa yasiyo ya Lazima Pesa nyingi za Walipa KODI Zinaishia huko kwa Mfano Mishahara ya Wabunge 400,DC 140,Das140,Ded 200 na Magari yao Unatarajia UCHUMI Uwe Mzuri?
mama anaendelea kuupiga mwingi mrefu ulionyooka[emoji23][emoji23][emoji23].

mama oyeeeeeee
 
Katiba mpya ni turufu ya mama...kuda utasema....2024
Yaonekana,
Mama kaishamaliza kukusanya na kuyapanga 'madodoki yake' ya KUJA kumpa ushindi wa kishindo 2025 na kumwakikishia kutawala milele akiwa 'ANAENDELEA KUINUA' uchumi.
Ninaanza kuona ni kama vile 'ataenda vilevile' kama alomwachia nyayo, ila ni kwa KASI zaidi.
 
Huyu Askofu tangu enzi ya utawala wa dikteta alikuwa anaongea na hajawahi kuogopa, ndiyo maana aliitwa uhamiaji kuwa siyo raia.
Harafu maaskofu wa kkkt huwa wa nakubali sana wamenyooka sana hawaigopi kusema msimamo wao na kile wanachokiamini
 
Sijui kwa nini wastaafu hawasimamii jambo moja. Mfano, kikwete anaweza kumshauri rais kuhusu katiba mpya ambayo alianzisha yeye.
Kwa nini huwa wanajitokeza kusifia tu. Hata kwa kusema maneno mawili,mfano, alipotmka suala la kujimwambfy kila mtu alielewa. Wastaafu jamani tusaidieni.
 
Huyu Askofu sa ngapi anafanya kazi zinazomuhusu?Si ahamie kwenye siasa tu tumuelewe
 
Mchakato wa Katiba mpya ni gharama ambayo inatakiwa kufidiwa na pesa za walipakodi ambao wanategemea kodi itumike kujenga uchumi badala ya kutumika kwa vitu ambavyo haviongezi uzalishaji. Rais Samia yupo sahihi, kujenga uchumi kwanza Katiba baadaye.
Soma tena hoja ya Askofu. Inaonekana hujaelewa. Huo uchumi kujengwa kwake, pia kunategemea katiba na sheria bora.
 
Mchakato wa Katiba mpya ni gharama ambayo inatakiwa kufidiwa na pesa za walipakodi ambao wanategemea kodi itumike kujenga uchumi badala ya kutumika kwa vitu ambavyo haviongezi uzalishaji. Rais Samia yupo sahihi, kujenga uchumi kwanza Katiba baadaye.
Hoja mfu hii, wanufaika nini wewe
 
Back
Top Bottom