kajengwa makunduch
Senior Member
- Sep 28, 2019
- 108
- 200
Mwambieni askofu agize Chupa 2 za mvi**** nakuja lipia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana sie twataka utawala wa SHERIA/KATIBA. Kutaka katiba mpya na bora zaidi ni haki ya waTz, na sio hisani ya WATAWALA.Mama ni mzanzibar hawajui watanganyika vizuri... kadri unavyowanyenyekea watataka kukupanda kichwani ... kila unavyoangaika uonekane mwema wenzio wanakudharau ... MBWA ANATAKIWA APELEKWE KIMBWAMBWA
Maza kanogewa sasahiviPole sana sie twataka utawala wa SHERIA/KATIBA. Kutaka katiba mpya na bora zaidi ni haki ya waTz, na sio hisani ya WATAWALA.
Ndiyo Huko Huko KudemkaKwa kifupi Mama kachemsha, sijui ndio KUDEMKA huko
Mdomo umerudi baada ya jiwe kwenda zake ?Pole sana sie twataka utawala wa SHERIA/KATIBA. Kutaka katiba mpya na bora zaidi ni haki ya waTz, na sio hisani ya WATAWALA.
Sio ajabu, kwani akina Mandela waliambiwa wana midomo hivyo hivyo na Makaburu, Wakoloni, Madikteta na vibaraka wao.Mdomo umerudi baada ya jiwe kwenda zake ?
Mama anacheka na nyani ... sisi Watz hatutaki katiba mpya wewe mbelgiji mweusi unasemaje?Sio ajabu, kwani akina Mandela waliambiwa wana midomo hivyo hivyo na Makaburu, Wakoloni, Madikteta na vibaraka wao.
Kweli tunatofautiana uelewa aisee.Yaani katiba haina maana.yaani umesoma andiko lote na hujaambulia chochote Cha kukufungua fahamu.Mchakato wa Katiba mpya ni gharama ambayo inatakiwa kufidiwa na pesa za walipakodi ambao wanategemea kodi itumike kujenga uchumi badala ya kutumika kwa vitu ambavyo haviongezi uzalishaji. Rais Samia yupo sahihi, kujenga uchumi kwanza Katiba baadaye.
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"....
Ingekua hivyo tuu majambazi na wauaji wote wangeshazimwa
Ila ukweli ni kwamba kila nafsi itaonja mauti na Mungu huruhusu kifo amtakaye, haijalishi ni mzee au kijana au mtoto mdogo
Katiba mpya haikwepeki , Mama kapotoshwa vibaya sana !
Katiba mpya haikwepeki , Mama kapotoshwa vibaya sana !