Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika🤔! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!

Sasa wapiga kura hao ndio wameshamkubari Magu...na ninyi mnaojiita wapinzani huwa mnaamini ktk nguvu ya umma na Kuwa sauti ya wengi ni ya Mungu so ndio eeh🤣😂🤣! Subirini mwaka huu October mtakavyoiona na kuisikia, na kui'feel' hiyo nguvu na sauti ya umma ikiwaadhibu🤔!
 
Kiongozi wa dini ukiona huduma yako watu hawakufuati kuihitaji ujue una mapepo na mashetani

Yesu popote alipokuwa watu walimtafuta kutaka huduma yake.Yohana mbatizaji Hadi Askari walihitaji huduma yake hakuomba akawahudumie!!

Bagonza Hakuna kiongozi wa serikali anahitaji huduma yake atajijua
 
Ujumbe huu umesimama katika nafasi yake, Kama kweli ana hekima kiasi hiki, Basi ana uwezo wa kusimama kwa Mungu Baba akawachunga kondoo, Maadam asikubali kutumiwa na watu wanaoweza kumfanya aonekane Kama mtu asiyeelewa anachokifanya.
 
Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika[emoji848]! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!..
Ndio maana nilitaman sana GPA zitumike kutoa kazi vyuoni maana bila GPA kutumika kuna vilaza wengi wangekuwa lecturers kisa degree zao hazina GPA.
 
Ameongea vizuri sana Askofu,

Lakini tusiwaamini sana hawa Maaskofu mana yawezekana akipata ulaji kwa Magu nayeye akawa kama wengine.

Japo tangu namsikie Bagonza bado anabakia ktk ukweli.
 
Sheikh ubwabwa A.K.A Sheikh Bahasha za khaki huyu hapa

1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Uyu hana jipya,ni wa kupuuza tu.aliamasisha maandamano alafu akajificha na wafuasi wake nao wakamshtukia nao hawakukusanyika.

Hakuitisha maandamano popote acha upotoshaji wa kijinga. Na ujumbe wake uko wazi kuwa hilo lilikuwa ni kongamano la amani, lakini sio la haki.
 
1.Mungu haishi kwa mtu ambaye ni mchafu.2.Mungu ametupa akili nyingi sana japo sisi ni wavivu wa kuzitumia 'we do not exercise much of our brain most of us are lazy thinkers'
 
Back
Top Bottom