Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,697
- 4,914
Linaweza hata kua taahira hilo popoma sio kwa umakalio huu ptuuuNimekusoma mara kwa mara ila nachoweza kukuwambia tena i am writing Capital letters ACHA UMAKALIO NA UPUMBAVU
Linaweza hata kua taahira hilo popoma sio kwa umakalio huu ptuuuNimekusoma mara kwa mara ila nachoweza kukuwambia tena i am writing Capital letters ACHA UMAKALIO NA UPUMBAVU
kama umevutiwa na Bagonza hivi, sasa kwa Dr Ellie V.D Waminian utalazimisha uishi kwake kabisa! labda tu vile Bagonza yuko kisiasa zaidi.Aisee huyu bishop sijui mwalimu wake wa fasihi bado yuko hai ?!. Nataka nikafanye tuition kwake.
Hawa ndiyo maaskofu . Siyo wasaka fursa [emoji110][emoji120]
Siyo siasa bali anapangilia hoja zake vizuri . Walimu wa fasihi wa aina hiyo huwakuti shule za kata.kama umevutiwa na Bagonza hivi, sasa kwa Dr Ellie V.D Waminian utalazimisha uishi kwake kabisa! labda tu vile Bagonza yuko kisiasa zaidi.
Hujui......AMANI wakati mwingi huwa inajitegemea yenyewe, ila HAKI inakwenda pamoja na wajibu!....Sijui.... Ona sasa double standard au? 'CHANGU CHANGU NA CHAKO NI CHANGU'!Sheikh ubwabwa A.K.A Sheikh Bahasha za khaki huyu hapaView attachment 1540231
BAVICHA hawajamuelewa askofu wao aliposema Amani kwanza haki baadaeAmani kwanza ndo haki ipatikane.bila amani akuna haki. Lissu kesha andaa watu wa kuvuruga amani baada ya uchaguzi,kasema yeye mwenyewe ataingia barabarani.
Jimbo la Hai alibeba marungu kwenye gari. Ni lazima amani ipiganiwe mapema kabla Chadema hamjaanza vurugu zenu.
Think tank wenu kwa mambo ya Dini ni Shehe wa mkoa wa DsmUyu hana jipya,ni wa kupuuza tu.aliamasisha maandamano alafu akajificha na wafuasi wake nao wakamshtukia nao hawakukusanyika.
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:
1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao.
2. Nyakati za uchaguzi huwa kuna kutumiana. DINI kuitumia serikali au serikali kuitumia DINI. Lakini Mungu yuko pande zote na hatumwi wala hatumiwi bali ANATUMA...
Mp fcUyu hana jipya ni wa kupuuza tu.aliamasisha maandamano alafu akajificha na wafuasi wake nao wakamshtukia nao hawakukusanyika.
Mp fcYaani wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika[emoji848]! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!
Sasa wapiga kura hao ndio wameshamkubali Magu, na ninyi mnaojiita wapinzani huwa mnaamini ktk nguvu ya umma na Kuwa sauti ya wengi ni ya Mungu so ndio eeh! Subirini mwaka huu October mtakavyoiona na kuisikia, na kui'feel' hiyo nguvu na sauti ya umma ikiwaadhibu[emoji848]!
ii ya kuchanganya dini na maharage?Nimeipenda hiyo ya....... Mungu si tukio ni mchakato!
Ghafla nimeukumbuka ule " mtama"
Maneno haya ni muhimu sana kwa ustawi wa demokrasia nchini, hasa kwa kipindi hiki Cha Uchaguzi. Baba Askofu Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefuAnaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:
1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao.
2. Nyakati za uchaguzi huwa kuna kutumiana. DINI kuitumia serikali au serikali kuitumia DINI. Lakini Mungu yuko pande zote na hatumwi wala hatumiwi bali ANATUMA.
3. Taifa linaunganishwa na kamati za AMANI na HAKI. Waandaaji wa kongamano wamesema hili ni Kongamano la AMANI. Wanaotaka HAKI wasubiri jingine.
4. Uchaguzi maana yake ni kuchukua kimoja kati ya vingine. Tusichukiane kwa mtu kuutumia Uhuru wake kuchagua anachopenda. Kila mtu aheshimu uchaguzi wa mwenzake. Tuache kuhukumu wengine kwamba wanachanganya DINI na SIASA. Kongamano hili halijachanganya DINI na maharage.
5. DINI si mali za viongozi, Vyama si mali ya viongozi na Serikali si mali ya viongozi. Lakini vyote (DINI, vyama na serikali) havimmiliki Mungu. Hata hivyo Kongamano limemtanguliza Mungu. Inapendeza, lakini wakumbuke:
- Mungu halindwi, analinda
- Mungu habebwi, anabeba
- Mungu haamrishwi, anaamrisha
- Mungu hamilikiwi, anamiliki
- Mungu si tukio ni mchakato.
Haya ni maoni yangu, nawe una yako. Uwe na AMANI katika Mambo yako Kama nilivyo na AMANI na Mambo yangu!
Miaka 5 CCM/serikali inafanya siasa, bado wanawoga?Bagonza anaonyesha utofauti kati yake na viongozi wa baali
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
____
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:
1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao.
2. Nyakati za uchaguzi huwa kuna kutumiana. DINI kuitumia serikali au serikali kuitumia DINI. Lakini Mungu yuko pande zote na hatumwi wala hatumiwi bali ANATUMA.
3. Taifa linaunganishwa na kamati za AMANI na HAKI. Waandaaji wa kongamano wamesema hili ni Kongamano la AMANI. Wanaotaka HAKI wasubiri jingine.
4. Uchaguzi maana yake ni kuchukua kimoja kati ya vingine. Tusichukiane kwa mtu kuutumia Uhuru wake kuchagua anachopenda. Kila mtu aheshimu uchaguzi wa mwenzake. Tuache kuhukumu wengine kwamba wanachanganya DINI na SIASA. Kongamano hili halijachanganya DINI na maharage.
5. DINI si mali za viongozi, Vyama si mali ya viongozi na Serikali si mali ya viongozi. Lakini vyote (DINI, vyama na serikali) havimmiliki Mungu. Hata hivyo Kongamano limemtanguliza Mungu. Inapendeza, lakini wakumbuke:
-Mungu halindwi, analinda
-Mungu habebwi, anabeba
-Mungu haamrishwi, anaamrisha
-Mungu hamilikiwi, anamiliki
-Mungu si tukio ni mchakato.
Haya ni maoni yangu, nawe una yako. Uwe na AMANI katika Mambo yako Kama nilivyo na AMANI na Mambo yangu.!
Miaka5 tumekuwa na waziri wa ujenzi anajenga tu miundombinu, tunataka tupate rais ainue pato la mtanzania na aira kwa wote, hatuli wala kulala kwenye madaraja.Miaka 5 CCM/serikali inafanya siasa, bado wanawoga?
tunataka maendeleo ya watu. Vitu viwaletee watu maendeleo!Miaka5 tumekuwa na waziri wa ujenzi anajenga tu miundombinu, tunataka tupate rais ainue pato la mtanzania na aira kwa wote, hatuli wala kulala kwenye madaraja.