Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika🤔! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!..

Swali hili ujibu kwa ufupi, kongamano hilo lilikuwa la amani au haki?
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:..
sorry uyu DR aya maandishi yake uwa ana ya publish wapi (kwenye facebook, jamiiforum, instagram au tweeter) naomba kujua Username yake niweze kumu add aisee, ana madini sana uyu babu
 
Mchakato wa kwenda mbinguni ni mgumu kuliko mchakato wa kuabudu

Mungu atupe nafs zenye uvumilivu na uhai tele tushuhudie mengi zaidi ya haya
 
Kiongozi wa dini ukiona huduma yako watu hawakufuati kuihitaji ujue una mapepo na mashetani.

Yesu popote alipokuwa watu walimtafuta kutaka huduma yake.Yohana mbatizaji pia Hadi Askari walihitaji huduma yake yohana mbatizaji hakuomba akawahudumie!!

Bagonza Hakuna kiongozi wa serikali anahitaji huduma yake ajitathimini
 
Ndio maana nilitaman sana GPA zitumike kutoa kazi vyuoni maana bila GPA kutumika kuna vilaza wengi wangekuwa lecturers kisa degree zao hazina GPA.
Huelewi ukisemacho ndg!

Kusoma madigree mengi hakuna uhusiano na kuelimika! GPA nyingi ni za kukariri tu ndio maana waliowengi wanaajiriwa na waliopata GPA ya sisimizi maana baadhi yao wanaweza kutafsiri elimu ya darasani na uhalisia wa maisha na hivyo kujikwamua!

Hali kadhalika GPA siyo ndio unafundisha Bali ni uelewa wa SoMo au topic husika🤔! Huwezi elewa kwa maana haupo kwenye tasbia hiyo!
 
Hakuitisha maandamano popote acha upotoshaji wa kijinga. Na ujumbe wake uko wazi kuwa hilo lilikuwa ni kongamano la amani, lakini sio la haki.
Amani kwanza ndo haki ipatikane.bila amani akuna haki.

Lissu kesha andaa watu wa kuvuruga amani baada ya uchaguzi,kasema yeye mwenyewe ataingia barabarani. Jimbo la Hai alibeba marungu kwenye gari.

Ni lazima amani ipiganiwe mapema kabla Chadema hamjaanza vurugu zenu.
 
yule wa dar anadhalilisha sana dini yake kwa kuendekeza sana njaa majuzi kamtosa bashite baada ya kuona mkono mtupu aulambwi
 
Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika🤔! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!..
Kama hupendi kunywa sumu,
 
sorry uyu DR aya maandishi yake uwa ana ya publish wapi (kwenye facebook, jamiiforum, instagram au tweeter) naomba kujua Username yake niweze kumu add aisee, ana madini sana uyu babu
Yupo facebook mkuu andika jina lake utampata
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:

1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao...
Huyu mbona anajulikana mlengo wake kisiasa.Asibeze misimamo ya viongozi wenzake.Sifa za kwenye mitandao zinampa jeuri ya kusema
 
Ameongea ambacho wengi humu mnapenda kusikia.

Hawezi hata siku moja kusema kuwa nakubali serikali imeimarisha hiki au kile.

Yeye moyo wake ni CHADEMA na hana kificho kwa sababu hata wale wanapiombea nchi mabaya na machafuko hajawahi kuwakemea.

Mwanasias aliyejificha nyuma ya madhabahu
 
Amani kwanza ndo haki ipatikane.bila amani akuna haki.

Lissu kesha andaa watu wa kuvuruga amani baada ya uchaguzi,kasema yeye mwenyewe ataingia barabarani...

Amani ni tunda la haki, kwa mantiki hiyo haki ni mti, kisha huo mtu ndio huzaa amani ambayo ndio tunda. Ukitenda haki automatically amani inakuwepo. Kama hutendi haki, ujue huna amani bali woga.
 
Eti Kongamano hili halijachanganya Dini na Maharage.
 
Uwasilishaji wake tu unakupa picha Bongoza ni mtu aliebobea kwenye maswala ya philosophy.

Huyu sasa ndio msomi anajua achague maneno yepi kwa nyakati zipi bila ya kuleta taharuki zingine ata kama jambo lililofanyika aungi mkono.

Binafsi Bongoza namuongezea kwenye ka list kangu cha wasomi wa ukweli worth their attention, mpaka sasa ilikuwa na Lwaitama.

Uwezi kuniambia Kabudi, Ndalichako, Lissu na wao ni wasomi; wanavyeti lakini wanapotoa hoja unaona amna kitu pale ntakukatalia miaka 800.
 
Ameongea ambacho wengi humu mnapenda kusikia.

Hawezi hata siku moja kusema kuwa nakubali serikali imeimarisha hiki au kile...

Mkuu hao viongozi wa leo waliokutana kwenye kongamano la amani, kuna yoyote ameongelea yale mazonge ya chaguzi za marudio na SM? kwahiyo hao viongozi hawajui amani ni tunda la haki?
 
Back
Top Bottom