Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Mkuu, Mungu alinifungua kitambo tu na nimeona mengi.
Nashukuru mkuu na uendelee kubarikiwa, ulichoandika ndicho kilinipelekea mimi kuandika nilichoandika. Tunapoandika tunayoandika tuweke umimi tofauti tuwakumbuke wenzetu waliokosa fursa na walionyimwa fursa na mfumo.
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:

1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao...
Hivi alikuwepo ktk kipindi cha JK wa Msoga na wakati wa Awamu ya tatu??
Article zake zilikuwaje??
 
Kama akuna amani haki aipo.
Amani kwanza kisha ndo haki itapatikana.
Nchi za jirani na Tanzania baada ya kupatikana amani kwa nchi za jirani na TZ zilizokua na machafuko,haki ikaja yenyewe tu maana pana utulivu wa kutoa haki kwa jamii.

Hata ukilazimisha kupindisha ukweli, nchi zote amani ilitoweka kwa kukosekana haki. Haki ingekuwa inatendeka kwenye uchaguzi, haya makongamano ya amani yasingekuwepo
 
Sasa Tindo, unataka hata kuwapangia watu waliojianulia kutoka mioyoni mwao kwa kuitumia haki yao ya kikatiba juu ya Tuttle na maudhui ya kongamani lao!? Na wakati huohui unajiita ni muumuni wa haki ya kujieleza kweli🤔! Wao wakiona hivyo ndivyo I awapendeza wao! Na hatupaswi kuwahukumu kwa maoni yao so ndie eeh🤣😂🤣!

Sina popote ninapokataa wao kufanya kongamano la amani, lakini hapo ni kama wanatakatisha dhambi ya kunyima haki.
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:

1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao.

2. Nyakati za uchaguzi huwa kuna kutumiana. DINI kuitumia serikali au serikali kuitumia DINI. Lakini Mungu yuko pande zote na hatumwi wala hatumiwi bali ANATUMA...

Kichwa kiko vizuri. Hii ni talanta.

Yaani hata wanaLumumba wenzangu wakisoma bandiko wanarudia rudia, then wanaandika na kufuta, mwishowe wanasepa kimya kimya.

Nasubiri kikao cha HAKI, Mungu sio tukio, bali mchakato.

Nikitafakari Mungu ni mchakato, nakaa tu nasema iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aiiiiiiiiiiiiiiiiiii...kwenye mchakato kuna mengi sana...
 
Yaani wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika🤔! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!...

"Trust in the Lord with all your heart and lean not on your own understanding; in all your ways acknowledge Him and He will make your paths straight." (Proverbs 3:5-6 NIV)

Aisee jione hapo juu jinsi signature yako inavyosema...wao wanamtumaini Mungu na sio akili zao.

Acha waamini kama waaminivyo, kitakachofuata ni matokeo.

Kuwaita watu wa Mungu "majuha" unaidhalilisha signature yako.

Kitabu hicho hicho ulichokiweka kinakuasa usimjibu mpumbavu kwa sababu utaonekana mpumbavu zaidi.

Shika adabu.

Magufuli juu juu zaidi, ILA wapinzani wapewe HAKI na UHURU wote
 
Kama akuna amani haki aipo.
Amani kwanza kisha ndo haki itapatikana.
Nchi za jirani na Tanzania baada ya kupatikana amani kwa nchi za jirani na TZ zilizokua na machafuko,haki ikaja yenyewe tu maana pana utulivu wa kutoa haki kwa jamii.
Uhuru wa kutoa mawazo unazingatiwa!.
 
"Trust in the Lord with all your heart and lean not on your own understanding; in all your ways acknowledge Him and He will make your paths straight." (Proverbs 3:5-6 NIV)

Aisee jione hapo juu jinsi signature yako inavyosema...wao wanamtumaini Mungu na sio akili zao...
Majuha is a polite way ya kuwaita wapumbafu ndugu! Lipo mwake kabisa Hilo! Mungu mwenyewe ndio alianza kuwaita watu wa sampuli hiyo🤔!
 
Nashukuru mkuu na uendelee kubarikiwa, ulichoandika ndicho kilinipelekea mimi kuandika nilichoandika. Tunapoandika tunayoandika tuweke umimi tofauti tuwakumbuke wenzetu waliokosa fursa na walionyimwa fursa na mfumo.

Kwa mtazamo wangu hawa wenzetu walokosa fursa wote watazipata hizo fursa kulingana na kujiandaa kwao.

Ila sidhani kama mfumo huu wa sasa umewanyima wenzetu fulani fursa za kihalali kabisa ambazo zipo.

NI safari ndefu na haiwezi kutatuliwa mara moja.
 
Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD)

Phd naaam. IMEISHA HIYO.

Yaani maandiko yake huwezi mpeleka popote, anagonga ukweli mtu.

Ni sawa na jiwe linadondoka toka angani na kumdunda mtu kisawasawa...mtu anabaki kulia tu hajua nani kalirusha.

Naifurahia sana falsafa...unaambiwa utajihukumu mwenyewe.
 
[SUB]Kwa hiyo hoja ya usichanganye DNI na SIASA kwa sasa ni hoja mfu.kila mtu na lake.[/SUB]
Hujaelewa nini haya angefanya mpinzani anaambiwa asichanganye dini na siasa ila wengine wanaona mchanganyo ni dini na maarage nilivyoelewa mimi
 
Uyu hana jipya,ni wa kupuuza tu.aliamasisha maandamano alafu akajificha na wafuasi wake nao wakamshtukia nao hawakukusanyika.
Sio kila wa kumpuuza basi kila wakati utampuuza, msikilize kwanza kisha muelewe then amua ...
 
Hata ukilazimisha kupindisha ukweli, nchi zote amani ilitoweka kwa kukosekana haki. Haki ingekuwa inatendeka kwenye uchaguzi, haya makongamano ya amani yasingekuwepo
Sio kweli kwamba nchi zote zilizopoteza amani ni kwa sababu haki aikuwepo. Kuna sababu kama udini,ukabila na tamaa ya madaraka na usaliti kama aliyonayo Lissu.
Ahaa, kumbe wewe haki unayotaka ni ya kwenye uchaguzi tu.akili yako imeelemea kwenye tamaa ya madaraka.basi hampati nchi iwe jua ama mvua.
 
"Haya ni maoni yangu, nawe una yako. Uwe na AMANI katika Mambo yako Kama nilivyo na AMANI na Mambo yangu.!"
 
Back
Top Bottom