Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

Amani kwanza ndo haki ipatikane.bila amani akuna haki.

Lissu kesha andaa watu wa kuvuruga amani baada ya uchaguzi,kasema yeye mwenyewe ataingia barabarani...
Wewe hujaona mitutu ya bunduki na vifaru vikiitafuta amani iliyopotea? Wafikiri ule utulivu unaosabibishwa na woga wa silaha kua ndio amani?
Hapana hii siyo amani. Amani ya kweli ni mchakato unao endeshwa na tunda la haki.

Haki iliyominywa au kuporwa ndiyo matokeo ya kutoweka amani. Ndio maana msemo wa mababu/watakarifu(manabii) unasema,
"HAKI HUINUA TAIFA " na sii

AMANI HUINUA TAIFA.
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:

1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao...!
Askofu mkora mbobezi
 
👏💪 pongezi ƙwaƙe huƴu ƙiongozi anajitamɓua sana✌
 
Baba Askofu Bagonza ni mmoja wa wale viongozi wa kanisa ambao wamekasirishwa na ukata na kuzuiwa kuzifanya taasisi za dini kuwa za kibiashara.

Pamoja na kuwa na PHd yake lakini anatumia tafsiri ya neno Uhuru wa maoni vibaya, kwa kushiriki shughuli za kisiasa au kuchanganya dini na siasa.

Akumbuke serikali kama taasisi pana haina dini.

Zamani taasisi hizi zilikuwa na uhuru wa kufanya kila kitu wakifanya ubadhilifu wa mali za taasisi za dini.

Vyuma vilipoanza kubana ndio nao wakaanza haya wanayotamka kila mara.

Unapochanganya dini na siasa matokeo yake ni wewe kiongozi wa waumini fulani kuanza kupoteza mwelekeo na kuwachanganya waumini wako hata kama umesoma hadi PHD.

Dini inahitaji imani na mapato viende pamoja na siasa ni mpangilio uwakilishao au kuongoza taifa lolote lile.

Dini ipo kwa kila mtu binafsi kujimwambafai na kujingoza kwa imani zetu na kwa pamoja makanisani na misikitini.

Siasa ni nguvu na dini ni amani.

Chuki ya baadhi ya taasisi za dini zinazoongozwa na watu wa aina ya Baba Askofu Bagonza ni kutokana na kubanwa kwenye matumizi holela ya mapato ya kanisa.

Nina imani sana na baba askofu Bagonza na uelewa wake mkubwa katika masuala haya mawili dini na siasa.
 
Wewe hujaona mitutu ya bunduki na vifaru vikiitafuta amani iliyopotea? Wafikiri ule utulivu unaosabibishwa na woga wa silaha kua ndio amani?...
Chadema mnavunja sheria kwa makusudi alafu mkidhibitiwa mnasema akuna haki.

Uvunjifu wa haki na ubabe wa Mbowe ndani ya Chadema ni mkubwa sana. Ila kuna msemo usemao nyani aoni kund,,le.
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:

1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao...
mimi Mkatoliki lakini nikiri kuwa KKKT kuna vichwa aisee. kuna hawa PhDs Bagonza, Shoo na Munga - si wa mchezo hawa!
 
Amani ni tunda la haki, kwa mantiki hiyo haki ni mti, kisha huo mtu ndio huzaa amani ambayo ndio tunda. Ukitenda haki automatically amani inakuwepo. Kama hutendi haki, ujue huna amani bali woga.
Kama akuna amani haki aipo.

Amani kwanza kisha ndo haki itapatikana. Nchi za jirani na Tanzania baada ya kupatikana amani kwa nchi za jirani na TZ zilizokua na machafuko, haki ikaja yenyewe tu maana pana utulivu wa kutoa haki kwa jamii.
 
Kama hupendi kunywa sumu,
Nawahurumia tu mnavyoweweseka! Na TL wenu naye kaanza kumsifia Magu kuogopa kuvunjwa kichwa na Mawe ya wananchi wanaojitambua🤣😂🤣! Chezea Magu wenye! Nanyi nyumbu anzeni kusema ukweli juu ya Magu...mbona hivyo ni rahisi zaidi?
 
*Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini*
________
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:

1. Hakuna DINI inayoiwakilisha nyingine. Wasikilizeni walioenda. Msiwapuuze ambao hawakwenda maana nao wana DINI zao.

2. Nyakati za uchaguzi huwa kuna kutumiana. DINI kuitumia serikali au serikali kuitumia DINI. Lakini Mungu yuko pande zote na hatumwi wala hatumiwi bali ANATUMA.

3. Taifa linaunganishwa na kamati za AMANI na HAKI. Waandaaji wa kongamano wamesema hili ni Kongamano la AMANI. Wanaotaka HAKI wasubiri jingine.

4. Uchaguzi maana yake ni kuchukua kimoja kati ya vingine. Tusichukiane kwa mtu kuutumia Uhuru wake kuchagua anachopenda. Kila mtu aheshimu uchaguzi wa mwenzake. Tuache kuhukumu wengine kwamba wanachanganya DINI na SIASA. Kongamano hili halijachanganya DINI na maharage.

5. DINI si mali za viongozi, Vyama si mali ya viongozi na Serikali si mali ya viongozi. Lakini vyote (DINI, vyama na serikali) havimmiliki Mungu. Hata hivyo Kongamano limemtanguliza Mungu. Inapendeza, lakini wakumbuke:
-Mungu halindwi, analinda
-Mungu habebwi, anabeba
-Mungu haamrishwi, anaamrisha
-Mungu hamilikiwi, anamiliki
-Mungu si tukio ni mchakato.

Haya ni maoni yangu, nawe una yako. Uwe na AMANI katika Mambo yako Kama nilivyo na AMANI na Mambo yangu.!
Binafsi huyu askofu Bagonza , Mwamalanga na Mwamakula ndo viongozi Bora wa kiroho kbsa hapa nchini ..wengine hovyo kbsa
 
Baba Askofu Bagonza ni mmoja wa wale viongozi wa kanisa ambao wamekasirishwa na ukata na kuzuiwa kuzifanya taasisi za dini kuwa za kibiashara.

Pamoja na kuwa na PHd yake lakini anatumia tafsiri ya neno Uhuru wa maoni vibaya, kwa kushiriki shughuli za kisiasa au kuchanganya dini na siasa.

Akumbuke serikali kama taasisi pana haina dini.

Zamani taasisi hizi zilikuwa na uhuru wa kufanya kila kitu wakifanya ubadhilifu wa mali za taasisi za dini.

Vyuma vilipoanza kubana ndio nao wakaanza haya wanayotamka kila mara.

Unapochanganya dini na siasa matokeo yake ni wewe kiongozi wa waumini fulani kuanza kupoteza mwelekeo na kuwachanganya waumini wako hata kama umesoma hadi PHD.

Dini inahitaji imani na mapato viende pamoja na siasa ni mpangilio uwakilishao au kuongoza taifa lolote lile.

Dini ipo kwa kila mtu binafsi kujimwambafai na kujingoza kwa imani zetu na kwa pamoja makanisani na misikitini.

Siasa ni nguvu na dini ni amani.

Chuki ya baadhi ya taasisi za dini zinazoongozwa na watu wa aina ya Baba Askofu Bagonza ni kutokana na kubanwa kwenye matumizi holela ya mapato ya kanisa.

Nina imani sana na baba askofu Bagonza na uelewa wake mkubwa katika masuala haya mawili dini na siasa.
Mungu akufungue mkuu
 
Askofu mkora mbobezi

Ukitaka kujua ukweli una nguvu, huyo askofu mmoja ameongea ukweli kuliko hilo kundi lote lililoalikwa kwenye promo ya amani, huku likifumbia macho haki. Haki ndio mpango mzima, amani bila haki ni kupandikiza uoga.
 
Sasa Tindo, unataka hata kuwapangia watu waliojianulia kutoka mioyoni mwao kwa kuitumia haki yao ya kikatiba juu ya Tuttle na maudhui ya kongamani lao!?

Na wakati huohui unajiita ni muumuni wa haki ya kujieleza kweli🤔! Wao wakiona hivyo ndivyo I awapendeza wao! Na hatupaswi kuwahukumu kwa maoni yao so ndie eeh🤣😂🤣!
Pole kwa kula ban, jibu fupi, lilikuwa kongamano la amani au haki? Kwanini lisiwe la haki maana ni full package na amani ndani?
 
Ule Ulikuw ni mkusanyiko wa vibaraka wachache tu wa CCM katika dini zao. Hauna baraka ya waumini... Hauna tofauti na lile tamasha la muziki last weekend. Tuwapuuze tu hao watu....!!
 
Huyu kiongozi wa kiroho likiweza kumtii pepo mchafu hata moja,basi mwisho wa dunia u karibu sana
 
Back
Top Bottom