Dah, hili dongo sio la kitoto! Pro-CCM hawatalielewa!Tuache kuhukumu wengine kwamba wanachanganya DINI na SIASA. Kongamano hili halijachanganya DINI na maharage.
Kumpuuza Bagonza sio kosa.Nimekusoma mara kwa mara ila nachoweza kukuwambia tena i am writing Capital letters ACHA UMAKALIO NA UPUMBAVU
Ndio maana nilitaman sana GPA zitumike kutoa kazi vyuoni maana bila GPA kutumika kuna vilaza wengi wangekuwa lecturers kisa degree zao hazina GPA.Yaani majuha wanatafuta Kila kinachoweza kushikiwa kujaribu kupindisha ukweli halisi Kuwa Magu anakubarika[emoji848]! Nawaonea huruma saana! Kinachopiga kura siyo PhD! Kamuulize Dr. Makyembe alivyomjibu yule mjumbe juu ya mtihani wa STD 7 bila kujua wapiga kura walio wengi waligalagazwa na mtihani huo!..
Hiki kitojo nimekielewa sana. Huyu Askofu ni mwana falsafa. Acha awe sauti ya wasio na sauti,hiyo ni sehemu ya majukumu yake kama kiongozi wa kiimani."Tuache kuhukumu wengine kwamba wanachanganya DINI na SIASA. Kongamano hili halijachanganya DINI na maharage"
Hii hoja namba 3 kwangu mimi nimeielewa sana
3. Taifa linaunganishwa na kamati za AMANI na HAKI. Waandaaji wa kongamano wamesema hili ni Kongamano la AMANI. Wanaotaka HAKI wasubiri jingine.
Uyu hana jipya,ni wa kupuuza tu.aliamasisha maandamano alafu akajificha na wafuasi wake nao wakamshtukia nao hawakukusanyika.