Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Ndio mana mwendazake aliwaona wanawashwa washwa tuu wangekuwa na uwezo wangefanya wakati wapo madarakani hahaha
 
siku niliposikia yule mama anamtambulisha chekibobu kama boss wake kwenye mimbari ya madhabahu ya kanisa la mwamposa nikajua hapa hatuna kiongozi.
Hahahah chekibobu. Yote haya kukosa kujiamnini. Ndo maana uanabaka michakato yote.
 
Jk anajikuta sana. Nilimshangaa eti kwenye msiba wa Mzee msuya anarusha vijembe
 
Shida hanaga AIBU yule.. angekoma Monduli..tuendelee kumuombea apunguze kiherehere
 
Askofu amejawa na chuki na jk mpaka anajitoa ufahamu. Aisee jk atafika mbinguni akiwa amechoka sana........aisee jamaa anafuatwafuatwa sana.
Anahaki ya kujaa chuki maana mambo mengi ya hovyo yanafanyika..mengine yana ghalimu maisha ya watu. Unateka aongee anacheka cheka kama yule?
 
Anahaki ya kujaa chuki maana mambo mengi ya hovyo yanafanyika..mengine yana ghalimu maisha ya watu. Unateka aongee anacheka cheka kama yule?
Yanapita Yale ya kumpiga mtu risasi hadharani na mchana kweupe?!!! Utekaji ulianza lini?!!! Kuna ushahidi gani kuwa musiyempenda ndiye aliyeteka?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…