THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Wewe kafiri huna lolote la kunieleza mimi.Inasikitisha Nchi inapoongozwa namijitu inaamini katika majini yaliyomuasi Mungu!!
Dini gani eti kuloga nisuna...
Hapo ulipo umejaa majini na mapepo wachafu wewe mshirikina ukisikia neno la haki ama la Mungu unajambajamba tuu
Makafiri mna matatizo sana,sasa JK anaingiaje kwenye duru za kuchagua wagombea wa ubunge??Huyo mzee nati za aibu zimeshakatika. Unaona alichomfanyia Fred kisa alinyimwa kutoa pole msiba wa Lowasa
JK yupo kwenye hii game tokea enzi ya nyerere,wewe utamuwezea wapi mtoto wa mjini yule.Kati ya watanzania wanaokula keki ya taifa ipasavyo kwa 100% n JK
Walirudi via front door si hii ya kihuni ya back porch.😂
Netanyahu alistaafu akarudi
Putin alistaafu akarudi
Prof Lipumba alistaafu akarudi
Hahaaaaa, watu mna vijineno.Msoga alifanyiwa upasuaji wa kuondoa mshipa wa aibu na kuwekewa mshipa wa VISASI in silent mode,
Warioba akija hadharani kukosoa serikali wanasema mzalendo,kikwete akifanya wanasema ana shidaHizo ni chuki tu, Culture ya wastaafu kuendelea kushauria serikali na chama ipo tu, na alie asisi ni Mwl Nyerere! Kina Warioba hata sasa wanafanya the same! Tuwe objective tuache chuki.
Kwa sisi tuliopitapita Seminari, hakuna watu wanafiki, wenye roho mbaya, wivu na ubinafsi kama Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Waone tu Kanisani wamevaa "nyambarwa" zao na Fimbo ndefu, lakini usiombe ukutane nao usi kwa uso ukauona uovu wao!!!!Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...
NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI
Nadhani wewe ni mmoja ya watu wajinga na wapumbavu kuwahi kuwasoma humu jukwaani, na mnaotumia kichaka cha dini kuficha upumbavu na ujinga wenu.Bado hamjasema makafiri,tunataka muendelee kuharisha wakaanga sumu wakubwa nyie
Analilia nyama ya bure kutoka kwa mturuki shenzy huyoWaarabu wa buza mna matatizo sana
Kaa kwa kutulia utaelewa vizuriItakua wakatoliki hawajapewa gawio mara hii ndo mna kelele nyingi sanaaa
Lipumba alikua anaongoza serikali gani?😂
Netanyahu alistaafu akarudi
Putin alistaafu akarudi
Prof Lipumba alistaafu akarudi
Unaitangazia jamii nyuma ya mikamera kwamba umesitaafu siasa halafu baadae baada ya fungu ulilo pewa kuisha unarudi kama komando kipensi tena ofisi za chama cha siasa ambacho ulikuwa na cheo kikubwa sana chenye maamuzi kwa kuishi humo humo😂
Netanyahu alistaafu akarudi
Putin alistaafu akarudi
Prof Lipumba alistaafu akarudi
Unaweza kufafanua msingi wa kauli yako amepachika waislam serikalini? Waislam hawatakiwi au hawan asili ya kuwa sehemu ya serikali? Tusiweke chuki ktk mijadala hii tutaharibu taifa hili.Huyo anatakiwa kuuawa ameharibu mifumo ya uendeshaji wa nchi amepachika wakina asalamaleko ambao kiasili ni watu weupe vichwani aina ya mama yenu wa kizimkazi. Ninyi ni tabaka dhaifu la kutawaliwa, vitu vya upeo sio saizi yenu. Ujanja ujanja, wizi wa mali za umma, ufisadi mkubwa, taifa kukosa muelekeo sio vitu vya kufurahia kwa sababu wewe na rais aliyepo madarakani mna imani moja. Grow up
Mkuu mijadala ya namna hii ktk mada hizi inaweza chochea kuvunjika kwa ushikamano wa kitaifa. Jizuie na maneno kama haya uliyo andika humu. Jibu hoja, hoji..lakini tusiingilie imani za watu wengine.Sasa wewe mwenye akili unaweza vipi chukua sanamu la kizungu na kulitundika msalabani na kuliita mungu??
Wewe una akili kweli?mungu unamwekaje ukutani uchi na kumuabudu?
Huyu Juma kaseja Wala Ajari na Aibu Aoni kabisa, Yeye ndio Analivuruga TaifaMsoga alifanyiwa upasuaji wa kuondoa mshipa wa aibu na kuwekewa mshipa wa VISASI in silent mode,