TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

Sasa kama wao ni wavivu wao ni wizi na ulevi,hawataki kazi.awachagui wa kuuwa.Shaka zulu ndie aliyepandikiza roho ya ukatili kwa jamii ile.
Kaburu ndie kiboko yao.Mtu primitives yafaa uwe primitives zaidi yake ndo mtakwenda SAwa,wale bila bullets hawaendi.
 
Haya Magereza ya Tanzania wamejaa Wasouth Africa?

Kinondoni, Sinza, Tabata mabar yanayokesha wanakunywa wazulu?

Umezaliwa South Africa tayari imejengwa kama ulaya ni nyinyi makwerekwere ndio mlioijenga?

Endeleeni tu kushobokea cheaper labour wataendelea kuwauwa mpaka akili ziwakae sawa.

Nyinyi hapa kwenu kazi ya ujira mdogo kwa muhindi hamtaki halafu ndio unataka wao wakubali kuswagwa kwenye nchi yao?
 
Huyu si ndo alikuwa mtetezi wa ushoga na mashoga??[emoji57]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi fanya ujira Mdogo home tunafanya ugenini.Dunia ni kijiji so nasi tuwatoe baruti walipojazana huko kwenye migodi yetu kama labour.
Hii dunia tunategemeana.Wazungu wachina wanaiba Afrika then wanarudisha kama misaada, mikopo,nk.
 
Lakini aliunga mkono ushoga na ndoa za jinsia moja,
Hivi unadhani nani anafurahia kumzaa shoga ?!. Je akitokea kwenye ukoo wako utamfanya nini ili nawe usitende dhambi ?!.

Hakuna anaeunga mkono ushoga isipokuwa watu hawataki kujichukulia sheria mkononi . As if wewe pia huna dhambi. Kwa hiyo ukiona wanatetewa na viongozi wa imani. Tu ni ktk kutaka kuwa fair
 
Mtu alithubutu kukosoa Wakoloni Hadi wakaufyata, Leo Mtu anashindwa kukosoa udhalimu wa waafrika wenzake huku ana kofia ya Uchungaji kichwani?
Ulitaka asemee kila kitu?.Hakuna binadamu wa hivyo.kila mtu ana upande flani anaoweza kuusimamia kwahiyo ni jukumu la wengine kusemea mengine.Je wewe umesemea jambo gani kati ya madhila mengi yanayowakuta waafrika.Au unamshutumu tu Tutu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
True hasa kwa Jamii yetu hata kushutumiwa tu ushoga achilia kuzaa inadisturb Jamii nzima hakuna apendae kuwa na ndugu shoga lakini kuwathamini ni kupromote ushoga.
 
True hasa kwa Jamii yetu hata kushutumiwa tu ushoga achilia kuzaa inadisturb Jamii nzima hakuna apendae kuwa na ndugu shoga lakini kuwathamini ni kupromote ushoga.
Mkuu unataka uwaue ?!. Si utakuwa nawe umetenda dhambi Ile ile !!
 
R.I.P Askofu Desmond Tutu. Mmoja ya waAfrica waliopata Noble piece price. Kwa kutumia akili badala ya nguvu kuondoa utawala wa makaburu walioitawala Africa ya kusini kwa zaidi ya miaka 300.

Nenda mzee, mwendo umeumaliza. Dunia itakukumbuka. Msalimie mzee Madiba na Mzee mchonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…