Askofu Dkt. Fredrick Shoo asema Kanisa la Kilutheri lina imani na Rais Samia

Umewaeleza vizuri washindwe kuelewa tuu
 
Ni kubwa hata zaidi yenu
 
Kwa maoni yako ule mkataba ambao serikali inauita makubaliano una mapungufu au hauna?
 
Kwani baada ya waumini wote kusomewa kwa wiki 6 na kuufahamu kwa undani huo waraka, then, nini kitatokea!?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hii nchi kweli safari bado ndefu sana. Kwahiyo ndugu wewe unaridhika kabisa na mkataba wa DPW Vs Tz?
Hakuna anayepinga uwekezaji TPA,watu wanapinga mkataba uliopo. Watu wengine mnawezaje kuuona uko sawa lakini?
Achana nae Mkuu..huyu ni mtu muelewa vizuri ila kuna kitu kipo nyuma yake mdio maana anawaka....
Ndio maana tunasema kama mmekula hela za watu rudisheni....
 
Hii nchi kweli safari bado ndefu sana. Kwahiyo ndugu wewe unaridhika kabisa na mkataba wa DPW Vs Tz?
Hakuna anayepinga uwekezaji TPA,watu wanapinga mkataba uliopo. Watu wengine mnawezaje kuuona uko sawa lakini?
Wewe unasemaje hakuna anaepinga uwekezaji wakati Waraka umesema wazi hautaki uwekezaji ?ai Wewe uliishia kusoma heading pekee

Halafu usiwe mshamba wa masuala ya kidemokrasia , Afya ya Taifa ni kuwa na mawazo tofauti, madhehebu yenyewe ya dini ni matokeo ya maoni tofauti sasa iweje uone wenzio hawajasoma au wajinga kwa kuwa tu Mtazamo wao unatofautiana na wako

Rais kakaa kimya ili tuzidi kujadiliana na kupata mawazo mengi zaid halafu kinatokea kikundi kinajipa jukumu la ku conclude eti Watanzania hawataki uawekezaji …nani kakupa mamlaka ya kusemea Watanzania …kama una hamu ya kuwasilisha basi sema kwa niaba ya waumini wako sio Watanzania
 
Alafu eti wanapiga biti kuwa wao ndo wana watu wengi. Hawa jamaa sikudhanu kama ni wapuuzi kiasi hiki!!

Unaitisha Serikali??? Tena Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania???

Sasaivi ndo watajua kuwa wamevamia mtumbwi wa vibwengo!!
 
Hivi hizi kauli zinazitelewa na viongozi wa dini zinawakilisha waumini wote wa hilo kanisa sio?

Yaan viongozi wako wakitoa kauli kwa kusema "kanisa limesema..." inamaanisha kama muumini lazima uwe pamoja nao sio?
 
Weka ushahidi wapi wamesema wanapinga uwekezaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…