Wewe unasemaje hakuna anaepinga uwekezaji wakati Waraka umesema wazi hautaki uwekezaji ?ai Wewe uliishia kusoma heading pekee
Halafu usiwe mshamba wa masuala ya kidemokrasia , Afya ya Taifa ni kuwa na mawazo tofauti, madhehebu yenyewe ya dini ni matokeo ya maoni tofauti sasa iweje uone wenzio hawajasoma au wajinga kwa kuwa tu Mtazamo wao unatofautiana na wako
Rais kakaa kimya ili tuzidi kujadiliana na kupata mawazo mengi zaid halafu kinatokea kikundi kinajipa jukumu la ku conclude eti Watanzania hawataki uawekezaji …nani kakupa mamlaka ya kusemea Watanzania …kama una hamu ya kuwasilisha basi sema kwa niaba ya waumini wako sio Watanzania