Askofu Dkt. Fredrick Shoo asema Kanisa la Kilutheri lina imani na Rais Samia

😂😂😂😂😂sawa mkuu. Ila ukweli tuna safari ndefu sana kama Taifa. Inasikitisha.
 
Wakisifiwa, hakuna udini ila ukiwakosoa unashambuliwa kuwa mdini. Hao hao wanasema tusichanganye dini na siasa ndiyo wanahutubia kanisani kwa sababu ya vyeo vyao vya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…