Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Tema huo ugoro unaokula alafu tulia dawa ikuingie.unajua serikali ya ccm inajua sana kucheza na akili za wananchi wake.
hapa tumamuona askofu mtu wa maana kishenzi.hasira zinapoa baada ya kuona kumbe kuna watu wa kutusemea upende wetu.
na hapa ndipo mnapopigwa.
We ninan mpk uchuķie maon ya baba askofu Munga?PUMBAVUMunga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Anyamaze ili muendelee kujimwambafay na mambo yenu ya kishetan?pumbavuBTW, mbona yeye asinyamaze kuonyesha hekima? Au yeye haimhusu...
Hajazuia nae katoa maoni yakeMunga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Ushuzimtupu. PumbavuMunga ana hasira sana na serikali mkewe alikua mkuu wa chuo na master yake then PhD holders wakawa lecturers wa kawaida. TCU wakatishia kufunga chuo ikamlazmu mkewe kukaa kando. Hasira zake kwa serikali hazitakuja isha maana maslahi ya familia yake yaliguswa
Tema huo ugoro unaokula alafu tulia dawa ikuingie.
Duh! Yaani kwako wewe kumkosoa na kuonesha dharau kwa Askofu Munga ni sawa.Lakini yeye Askofu Munga kumkosoa Pengo ni dhambi isiyosameheka. Hii ni ajabu sana.Mpigania Demokrasia anayetaka watu wote waone kama anavyoona, wafikirie Kama anavyofikiria yeye na watende Kama anavyotenda. Watu wa hivi ni watu wabinafsi na siku zote maisha yao huwa ni ya hovyo, chuki na sonono zisizoisha. So long sisi ni binadamu Basi ifahamike kuwa tunao utashi ambao unatuwezesha kufikiri na kuona tofauti, unachokiona kibaya siyo lazima watu wote wakione hivo, unachopaswa kufanya ni kubaki na msimamo wako lakini usiwachukie wala kuwalaumu wanaoona tofauti nawe.
Kama anavyokesha akikosoa Serikali ya JPM kwakuwa anaona haitendi vile angependa itende kiru ambacho kimsingi ni haki yake, Basi anapaswa aache na wengine wanaoona waisifie Serikali ya JPM wasifie, kwani wao wameamua kufanya hivo na wanasababu zao Kama vile ambavyo yeye ameamua kwa sababu zake kuwa mpingaji.
Katika Nchi yenye watu Million 60 yeye ni nani hadi ajipe usahihi, kwamba anachokiona, kuwaza na kutenda ndicho watu wote milioni 60 wanapaswa kuona, kuwaza na kutenda. By the way who is Steven Muga in this Country, to whom does he have Command, yes, Kuna wakati unaweza kukosa uhalali wa kuwafanya watu wafuate mawazo yako na maono yako kupitia ushawishi lakini ukaweza kwa kutumia nguvu ulizonazo kouchumi, kisiasa au kijamii. Muga Legitamacy yake ipo wapi, Kama Muasham Kardnal Pengo ameona tofauti na yeye, Muga ana nguvu gani ya kiushawishi dhidi ya Kardinal Pengo ya kumfanya aone kama yeye, maana hadi hapo nguvu ya hoja ameshashindwa ndio maana Kardinal Pengo bado anaona tofauti naye pamoja na maandishi yake ya kila kukicha kukosoa.
Yeye abaki na msimamo wake awaache wenye misimamo tofauti na yake nao wafanye kile wanachokiona!
Kiazi hakiwezi kuteuliwa aiseeSubir uteuzi
Kusifiwa na sifa za kike na mtu aliyeruka stage.Mwanaume kamili akamilishwi kwa kusifiwaHakuna mtu au kitu chini ya jua au mbinguni kinachochukia kusifiwa, mtu akikusifu kuwa wewe ni tajili hata kama huna kitu utanyamaza au utatabasamu lakini akisema wewe masikini na unajua wewe ni masikini lazima utanuna na kuona kakukosea wakat kasema ukweli, sasa kusifu sio dhambi, ili kudhauliwa ndo dhambi, kwani hata mungu anapenda kusifiwa ingwa unaweza kuwa umempoteza mpendwa wako lakini bado utasifu tu kwamba ni mapenzi yake mungu, ulishawahi kuona mtu anamtukana mungu kwenye msiba?
2019 ImeishaAskofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Kwenye siasa kweli ni relative term boss!Sema kweli, itakuweka huru. Kama huwezi kusema kweli bora unyamaze. Nadhani sasa umeelewa philosophy ya Munga Askofu.
Muda wenyewe ukwapi boss! Tunasoma heading, tunareply...Inamhusu sana tu, tatizo uzi ukiwa mrefu hamsomi. Mnakimbilia ku- comment kwenye post za wachangiaji. Soma alichoandika huyu Askofu Munga halafu ndiyo ueleze ni wapi naye alitakiwa akae kimya.
Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Asinyamaze, ila na wenzie hawanyamazi!Anyamaze ili muendelee kujimwambafay na mambo yenu ya kishetan?pumbavu
Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Munga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Hahaha nakwambia huyu dogo anayejiita state agent ni mwepesi sana, atachemka very soonKuna wale kina ISIS sijui walijifia wapi walahi
Mbona wewe umepoteza mimba hatusemiAskofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa