Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #161
Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ! Kova sasa amebaki kuamua rufaa za ulevi za akina Kapombe , hili Mambosasa anapaswa kujifunzaMambosasa anatafuta kuwa IGP japo ana changamoto ya umri
Sure, there's no fool like an old fool!kihalali Mambosasa ana zaidi ya miaka 60
Hivi ni lini polisi wa nchi hii wataacha kufanya kazi kwa misingi ya kitutusa?View attachment 1703071
View attachment 1703070
View attachment 1703379
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la Moravian kwa kosa la kuhamasisha maandamano nchi nzima kwa njia ya ujumbe wa maneno katika mitandao ya kijamii. Taarifa ilikuwa ikihamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuandamana wakishinikiza na kudai katiba mpya jambo ambalo ni kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Aidha awali Jeshi la Polisi kupitia idara ya upelelezi kanda Maalum Dar es salaam walifanikiwa kupata taarifa hiyo na kumkamata Askofu huyo kwa ajili mahojiano kwa jambo hilo ambalo lilileta taharuki kwa umma katika mitandao ya kijamii.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kwa yeyote ambaye ameshawishika na kupanga kuandamana kuahirisha mara moja nia hiyo ovu ambayo iko kinyume na sheria.
Pia ifahamike ni kosa kufanya maandamano bila kuwa na kibali cha Polisi ili kupewa ulinzi, na atakayejaribu kuandamana atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Hivyo wananchi wote wa jiji la Dar es salaam waendelee na shughuli zao za kukuza uchumi na kujipatia vipato vyao vya kila siku.
LAZARO B. MAMBOSASA– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15.02.2021
Zaidi, soma:
Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana...www.jamiiforums.com
Kwa akili zako ulitaka polisi wamvike Nishani?,au ulitaka wampigie vinanda na vinubi?, lini watanzani tumekaa tukamtuma mwamakula kuwa tunahitaji katiba mpya?Hivi ni lini polisi wa nchi hii wataacha kufanya kazi kwa misingi ya kitutusa?
Mataga mmoja amesema humu kuwa walichelewa kumkamata. Kweli, kwa kujipendekeza kwa Mambosiasa, ilitakiwa akamatwe hata kabla hajaingia mtandaoni. Kazi tukutu ya intelligensia!Bora aliwahi kupost kabla hawajampora simu na kusepa nae. Otherwise angepotea kwa siku kadhaa huku akipokea kipondo heavy huko mafichoni
Hii “terror squad” ya mtu flani ni shida kwelikweli
Ziwa gani hilo? Lile la moto? Wapambe hawana akili kabisa. Wachawi wanajua nguvu ya maombi. Wewe mshirikina upo upo na chezea wazee wa ziwani weye. Acha uzwazwa we mshirikina. Hakuna ujualo ziaidi ya tawire!Akimaliza tu kusali anaota mshipa yeye mwenyewe chezea wazee wa ziwani weye
'wakutanapo wawili na kulitaja jina langu, nami nipo'Waumini wa kanisa lake hawafìki 50, uaskofu gani kama si fraud!
Yule askofu wa katoliki Kayanga kazuiliwa nyumbaniWakamate maaskofu kama 15 nadhani utakuwa mwanzo mzuri wa dikteta kuanguka
Yule askofu wa katoliki Kayanga kazuiliwa nyumbani
Si ajaribu sasa uoneZiwa gani hilo? Lile la moto? Wapambe hawana akili kabisa. Wachawi wanajua nguvu ya maombi. Wewe mshirikina upo upo na chezea wazee wa ziwani weye. Acha uzwazwa we mshirikina. Hakuna ujualo ziaidi ya tawire!
Mkutanapo wawili kulitaja jina la Mungu si lazima mmoja wenu ajipe uaskofu. Huyu muhuni alikimbia Moravian sababu ya uaskofu.'wakutanapo wawili na kulitaja jina langu, nami nipo'
Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu na fedheha kwa taifa.View attachment 1703071
View attachment 1703070
View attachment 1703379
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la Moravian kwa kosa la kuhamasisha maandamano nchi nzima kwa njia ya ujumbe wa maneno katika mitandao ya kijamii. Taarifa ilikuwa ikihamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuandamana wakishinikiza na kudai katiba mpya jambo ambalo ni kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Aidha awali Jeshi la Polisi kupitia idara ya upelelezi kanda Maalum Dar es salaam walifanikiwa kupata taarifa hiyo na kumkamata Askofu huyo kwa ajili mahojiano kwa jambo hilo ambalo lilileta taharuki kwa umma katika mitandao ya kijamii.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kwa yeyote ambaye ameshawishika na kupanga kuandamana kuahirisha mara moja nia hiyo ovu ambayo iko kinyume na sheria.
Pia ifahamike ni kosa kufanya maandamano bila kuwa na kibali cha Polisi ili kupewa ulinzi, na atakayejaribu kuandamana atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Hivyo wananchi wote wa jiji la Dar es salaam waendelee na shughuli zao za kukuza uchumi na kujipatia vipato vyao vya kila siku.
LAZARO B. MAMBOSASA– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15.02.2021
Zaidi, soma:
Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana...www.jamiiforums.com
Mhuni ni wewe na sidhani kama una dini.Nadhani wewe ni mpagani tu kama mwenzio.................Na hii mada sidhani kama inakuhusu.Wewe umedandia tu.Muhuni mkubwa.Mkutanapo wawili kulitaja jina la Mungu si lazima mmoja wenu ajipe uaskofu. Huyu muhuni alikimbia Moravian sababu ya uaskofu.
Habari nzima ya kusema maandamano ni lazima yapate kibali cha polisi ni kuvunja uhuru wa kikatiba.View attachment 1703071