johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Gamanywa siyo Gwajima bwashee!ndugu yangu Gwajima, uliposema "ziro brain "ulimaanisha nini? Labda nimekosea hukuwahi kutamka maneno hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gamanywa amelisoma tamko la katazo la Makonda na kulielewa? Inamaana yale mengine hajayaona?Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda.
Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka.
Gamanywa amedai kuwa Makonda ni kiongozi hodari, shujaa na mwenye uthubutu na kwamba hapa Tanzania hakuna mtu mwenye ubavu wa kuikemea Marekani kama alivyofanya Makonda.
Askofu Gamanywa ameitaka Marekani ijitafakari juu ya uamuzi wake usio wa haki.
Source: Ibadani BCIC - Mbezi jogoo
Askofu Gamanywa amebobea kwenye uandishi na sheria naweza kumfananisha na Prof Safari wa hapo Ufipa!
Kwani taarifa ya Pompeo imetaja ushoga pekee.
Ndo tatizo la maaskofu kumiliki kadi za vyama vya siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani taarifa ya Pompeo imetaja ushoga pekee.
Ndo tatizo la maaskofu kumiliki kadi za vyama vya siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu askofu ni miongoni mwa wale maaskofu wapigaji. Makanisa yao ndio mtaji wa kuvuna pesa za wakristo mazezeta.
Tumpuuze tu huyo askofu.
Anaezungumziwa hapa sio GWAJIMA ni GAMANYWAMauaji na Utekaji watanzania wenzie ni poa ila usenge sio sawa. GWAJIMA hata kama unataka urudishwe kwenye viwanja vya kawe sio kihivyo.
Muogope Mungu
[emoji2][emoji2],,Spin doctors juha wewe. Uliambiwa ni ushoga peke yake. Makonda mwenyewe hajulikani yupo kwenye kundi lipi haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
FactKwani taarifa ya Pompeo imetaja ushoga pekee.
Ndo tatizo la maaskofu kumiliki kadi za vyama vya siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app