Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

Wenye nchi wemesema hawamtaki nchini mwao kutokana na maovu yake, kwa nini wengine wasiowenye nchi waumie Makonda kuzuiwa kuingia kwa wenye nchi yao? Kama wanaona kudhulumu maisha ya watu ni mafuta ya upako kwao, siwakae kimya na Makonda wao kuliko kupotosha ukweli wakile kilichofanya Makonda kwenda kwenye nchi ya wenyewe?.
 
Sawa
 
Kaongea utumbo
 

Gamanywa AJITAFAKARI, ANAPOTOSHA HOJA.

SIYO SUALA LA USHOGA,

NI MAUAJI, KUZUIA MIKUTANO YA SIASA, KUTEKA, KUVAMIA KULE CLOUDS, KUMVAMIA MZEE WARYOBA UBUNGO PLAZA, LISU KUPIGWA RISASI NYINGI, KUBAMBIKIA KESI ZA UHUJUMU UCHUMI NA UTAKATISHAJI FEDHA LENGO KUNYIMA DHAMANA NA MENGINE MENGI TU.

GAMANYWA, USIAMINISHE WANYONGE WA TANZANIA KUWA SABABU NI USHOGA.

SIMAMIA HAKI.
 
Njaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu Gamanywa ni mwanahabari anayemiliki gazeti na Radio......hivyo uelewa wake siutilii shaka!
Sasa kinachomtuma kujiondoa ufahamu nini nini. Au kuna mahali Pompeo ameandika ushoga? Kaandika Mimba za watoto wa shule, kuminywa haki za binadamu, kuwabana wapinzani etc
 
Asikofu Gamanywa ni kama mwamposa tu hana lolote huyo usikute kala vicent vya Daud Bashite amsaidie kuwaaminisha watanzania wachache kuwa kosa la makonda Daud Bashite ni kukemea ushoga, Asikofu Gamanywa Tambua kuwa watanzania siyo wajinga kama unavyowaza na kufikiri, watanzania wengi wana Akili na wanajua kosa la Daud Bashite ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu wapinzani wa utawala wao na wala siyo ushoga
 
Sasa kinachomtuma kujiondoa ufahamu nini nini. Au kuna mahali Pompeo ameandika ushoga? Kaandika Mimba za watoto wa shule, kuminywa haki za binadamu, kuwabana wapinzani etc
Asikofu kajitoa fahamu kaamua kujipendekeza kwa Daud Bashite akizani watanzania ni wajinga kama yeye
 
Kwani DAB ameshaacha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikimbilie kwenye ushoga.Uganda wamepitisha sheria kali kabisa kuusiana na ushoga na hawajafungiwa ndio kwanza wameongezewa na funding kutoka PEPFAR, Tusisingizie hivyo vitu sababu ni demokrasia na involvement yake kwenye issue za kuminya demokrasia pamoja na "credible information" walizonazo kuhusiana na uhusika wake kwenye mambo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…