Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

Radio wapo Chini ya Gamanywa lipeni madeni mnayodaiwa TCRA vinginevyo hata mkimlamba matako haisaidii, waulizeni Star Tv hawana hamu na mtu yule.
 
Hawa vibaraka wasemao kwa jina la yesu na muhamed sababu ya tumbo wapo wengi Sana wadhalilishao dini
 
Katika vitabu vya Injili kuna simulizi nyingi sana kuhusu watu wa madhehebu ya dini ya Kiyahudi waitwao Mafarisayo na Masadukayo. Naweza kumfananisha Gamanywa na Gwajima na kiongozi wa kidini mfano wa mtu aliye Mwandishi na Farisayo (rejea Mathayo 23:13-36).

Kwa mtu mwenye kutambua mwenendo na msimamo wake wa kidini na kisiasa, kupitia kauli zake na matendo yake toka mwaka 2015 hadi 2020, hatosita kumuita mtu huyu ni mnafiki. Ni kiongozi wa kidini mwenye kutumia dini ili kujiengea umaarufu na kusaka utajiri.
 
Wajasiliadini vibaraka
Screenshot_20201021_133412.jpg
 
Huyu askofu wa wajinga akae kimya hajui anachozungumza.
Anahitaji kuhurumiwa na Mungu na wanadamu. Askofu kama hana cha kusema afadhali akae kimya, kuliko kujidhalilisha namna hii.
 
Kundi la Vibaka wanaoishi kwa kulipwa na CCM wakina Alhad Salum, Alex Malasusa, Kakobe, Mzee wa Upako, Pengo na Gwajima...waovu Wakubwa hawa
 
Awamu hii imetusaidia kujua watumishi halisi wa Mungu na watumishi wa tumbo.

Wengine Wana makandokando mengi Sana ikiwemo kuvamia viwanja vya wazi na kujenga makambi yao ya kuibia watz masikini wasiona uwezo wa kutatua shida za kiroho.

Wengine ni wakwepa Kodi wakubwa wamejifiachia kwenye dini, wengine biashara haramu, Sasa Hawa ni lzm wafungamane na tawala dhalimu na kuwa Kama vibaraka na pia ni vifaa vya propaganda za kupumbazia watu.

Na Wala kweli haimo ndani yao Hawa mafarisayo ni chukizo kwa Kristo kwa kufunga ndoa na watawala dhalimu kwa manufaa ya tumbo hata Kama umma ukiteketea.
 
Toka nisome kitabu cha Yeremia kwenye Bible, nimekuwa makini sana na haya matamko.
 
Baraza la kuombea Amani bila HAKI ni Genge la Mashehe Ubwabwa na Maaskofu njaa
 
Back
Top Bottom