Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

Uchaguzi 2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

Ok, Kwa hiyo sasa wewe ni rashidi wa usalama wa mbinguni? Sijui kesho utatwambia wewe ni nani? Maana kila kukicha unakuwa mtu mwengine tu!
 
Siku hizi kila mmoja anaibuka na kujiita nabii. Mungu wa uzima uzidi kuwadhalilisha hawa wanafiki wanaojigicha ndani ya koti la neno lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gamanywa = mateka wa kisiasa anayelinda tumbo lake!
 
Si vyema kumshambulia na kumrushia maneno makali Askofu huyu..

Huyu naye ni mtanzania. Ana haki ya kumpigia kampeni mgombea yeyote wa chama chochote amtakaye. Kaichagua CCM na Magufuli..

Kwa hiyo, hii si lolote na si chochote. Ni uongo na ujinga uleule wa siasa za kampeni za uchaguzi..
 
Katika Ibada ya leo, mchungaji kiongozi amesisitiza kuombea uchaguzi ya kwamba mapenzi yake yatimizwe, kusudi lake litimie, akasema hapo kanisani kuna watu wa vyama tofauti tofauti na mitazamo tofauti, wao kama viongozi wa kanisa hawawezi kuwaambia watu wamchague nani.

Lakini tuombe uchaguzi uende kwa amani na mchakato ukamilike bila machafuko. Hatujawahi kupewa viashiria vya kumchagua mgombea au chama chochote kanisani.
 
Another mchumia tumbo! Nani amwite usalama wa Taifa? awadanganye anaowakalisha na kumpa visadaka! Anapiga kelele ili wamsikie kuwa naye alichangia kuleta kura. MCHUMIA TUMBO MKUBWAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Hahaaaaa! Aache kututisha eti baraka na laana, nitamchagua niliyemwelewa kama kuponywa corona ni ishara kutoka kwa Mungu basi na atuambie kuponywa kifo baada ya kumiminiwa risasi za kutosha ni ishara kutoka wapi?
 
Wewe mchgj tapeli..mpigaji tunakujua tangu wakati wa lunch time fellowship pale Empire Cinema ambako mliikuwa mngoombana juu ya sandalka tunakuomba sasa unyamaze tusije tukalkuipua na mambo yako ya Burundi...
 
Sisi ni nani hata tukatae mafundisho yako Baba Askofu Gamanywa?

October 28th tutakuwa na kazi ndogo sana yule tutakaemkuta wa kwanza kwenye karatasi ya kumchagua Rais ndio huyo huyo tunampa kura zetu za NDIO.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwani Huyu anandimi ngapi?

Juzi tu hapa alisemaje kwa kiingereza?

Maskini jamani [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom