DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Na ukitaka kujua kuwa hao watu they are very selfish jaribu Kuwatazama hao viongozi wa dini.Kuna kijikanisa klififunguliwa mtaanni hapa ..ni makelele matupu, ndani ya miezi 2 , mhubiri ana cruiser zx mpya ..
Hapo asiyejulikana akikatiza natarajia kuona vurumai la mizee ya gombe.WalinZi 30+😀😀😀
Alibidi asigombee ubunge na endelee kudai mabadiliko .Siasa ina upuuzi sana
Kuna watu wanapigwa kule Kumbe yeye yupo na hajaenda kule ili apigwe na wale polisi
Kuvumilia nini Mkuu kwani hana sifa za kugombea??Pesa na shetani ni ndugu,
Askofu ameshindwa kabisa kuvumilia
Huyu jamaa kumbe hana Akili kabisa. Na aibu haoni kabisa.Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254
Nyakati ngumu hazidumu, huja na kupita.Haijulikani anaoigania Gwajima inasikitisha Sana .
Mradi wake wa kanisa umepigwa pin , na katika siasa mambo sio mambo.
Inafikirisha
Video umeokotea wapi ?Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254
Msukule wake naona dawa imekuingia mpaka umeanza kutoa mlio wa maumivu,vipi bado anafufua wafu huko?Ni bora mpumbavu mkristo mara 1000 kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkristo una akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamu
Huenda!Video ya 2020 acha kamba.
Moderator futa huu uzi wa upotoshaji
1 kor 1:25 SUVNi bora mpumbavu mkristo mara 1000 kuliko muislamu asiye mpumbavu kwa sababu upumbavu wa mkristo una akili kuliko akili za muislamu..Tanzania tunakwamishwa kiuchumi na waislamu
Bora mkuu umemjibu mpumbavuKwa kuwa unalindwa na Mungu halafu njia unayopita unakutana na koboko, utalazimisha kupita kwakuwa unalindwa na Mungu?
Nini dhumuni la Mungu kukuumba na hicho kichwa kama unapotakiwa ukitumie hukitumii?
Kumbe Gwajiboy ni lefthanded kama Obama na Uhuru Kenyatta.Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254
Na Bashiru anaingiaje hapo mkuu?hii si ya sasa ni 2020 huko, Safu yote ya Magufuli ilipigwa chiniAskofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
View attachment 3388254