UKISIKIA KISHINDO KARIAKOO, ANGALIA KUANZIA CHALINZE KUELEKEA MOROGORO, USIANGALIE KARIAKOO PENYEWE. KISHINDO KINAKUWA KMIEELEKEZWA TU KARIAKOO KWA NIA YA KUKUCHANGANYA ILI UDHANI KUWA TUKIO LIKO HAPO, KUMBE LIKO MBALI SANA MAENEO YA MOROGORO AU CHALINZENingeamini kama yule kada aliyemtishia maisha Fr Kitima angekamatwa.
Aaah wapi kwa zile hasira za jiwe afahamike na aachwe!!!!KWA kipindi kile Kigogo alipaswa kuwepo KWA ajili ya kuweka regime sawa kwa BAADHI ya mambo na SIO KWAMBA hakua anafahamika
Huyu jamaa anaweza kuwa na watu wakubwa sana upande wake ngoja uoneDaaa...kazi sana....wanaomtafuta wameshìndwa kujua alipo.....
https://www.facebook.com/Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Hasira ZAKE zilikua na mipaka mkuu na hakua na la kufanya mana system ilimeguka na isingewezekana kueliminate nusu ya system risk ingekua kubwa zaidiAaah wapi kwa zile hasira za jiwe afahamike na aachwe!!!!
Majasusi wa Mbinguni ogopaaaLeo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
Hivi huyu Gwajima si alisema kuwa kardinali Pengo anavaa pumpus?Mungu libariki kanisa la Mungu
Huyo hajasajiliwa na msajili ila kanisa lake ndilo lililosajiliwa hakuna mwenye mpango nayeDaaa...kazi sana....wanaomtafuta wameshìndwa kujua alipo.....
Tena sanaIla Gwajima mchokozi Sana😀😀😀
Anawapa wakati mgumu sana hawa Jamaa.Ila Gwajima mchokozi Sana😀😀😀
Ndio mwenyewe tena aliongelea kanisani madhabahuniHivi huyu Gwajima si alisema kuwa kardinali Pengo anavaa pumpus?
Vizuri sana!Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
View attachment 3378057
So what?Hivi huyu Gwajima si alisema kuwa kardinali Pengo anavaa pumpus?
Wakiamua wanamdaka lakini hawataki kuchafua zaidiAnawapa wakati mgumu sana hawa Jamaa.
Mbona SDA hawajafungiwa wakati Juzi hapa mchungaji wao alikua anaongelea utekaji madhabahuni.Huyo hajasajiliwa na msajili ila kanisa lake ndilo lililosajiliwa hakuna mwenye mpango naye
Msajili anashughulika tu na kanisa alilosajil lililokiuka masharti ya usajili kumpa Gwajima platform alitumie kwa siasa
Gwajima watajuana naye wenyewe waliompa madhabahu atumie kisiasa
Msajili kafuta taasisi huyo Gwajima warajuana naye wenyewe hayamhusu msajili
Kwani Gwajima anatafutwa 😅😅Daaa...kazi sana....wanaomtafuta wameshìndwa kujua alipo.....
Lukas Mwashambwa