PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
RAIS hatakiwi kujibu kila kitu suala la Gwajima lilikua limepoa labda huwezi Mipango ya wakubwa
 
TAL atafanyaje kumzuia Gwaji asichukue fomu na mnavyomfurahia kuwa anakiwasha haswa? Labda na yeye aende kwenye No reform kinyume na hapo ndoo inazidi kuwa nzito.
Kama ulimaanisha Chadema watamshabikia huyoi jamaa na kumsapoti kwenye mbio za urais sahau...Chadema imeunga mkono kauli ya Gwajima kea kusema ukweli ila haimkubali Gwajima kwasababu wanamjua tapeli.
 
Inatakiwa hoja za Gwajima zijibiwe km zilivyowsilishwa na sio taarabu na mipasho..!!

Hivi unafikiri mnaweza kunyamazisha watu wote nchi hii??
Mpaka sasa wameuwawa wangapi na je, watu walinyamaza??
 
Gwajima ndo anaonesha umuhimu wa no reform no election,Akili ndogo kama yako haiwezi kueleewa!
Watu wako na sprit ya mageuzi na mabadiliko uanwaza siasa za kijima na kipumbavu za CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…