PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)


THE BIG SHOW unamwona jamaa hacheki na wowote. The Man mwenyewe. Anapiga kwenye mshono. Hacheki na mbwa. Hana uchawa. Kanisa fungeni hana wasiwasi.
 
You don’t know me

But we both know gwajiboy…. Yule aliyeasisi kuunda taifa la wasukuma Tanzania, aliyemlaghai magu for his own benefit, aliyetumika kutakasa

Tafuta hero mwingine
Hero wako ni nani? Samia?
Unalinda maslahi ya Taifa au ya Samia?
 
Aache kushindana na Rais.
hata kama hatumpendi
 
Anajichochea kuni ili aungue vizuri.
 
You don’t know me

But we both know gwajiboy…. Yule aliyeasisi kuunda taifa la wasukuma Tanzania, aliyemlaghai magu for his own benefit, aliyetumika kutakasa

Tafuta hero mwingine
Hero wako ni nani, Samia? Unamtetea kwa sababu ya sera zake, au pesa, cheo, mamlaka aliyokupa kuwapiga, kuwatesa kwa pesa.

Unamtetea kwa madaraka aliyokupa kuwauwa Watanzania wanaopenda haki.

kuwaumiza wanaotetea haki hata za vizazi vyako vyote vinavyokuja? Kama sisi Nyerere alivyotupigania tukapata Taifa huru.
 
UJASIRI ALIO NAO MTUMISHI JOSEPHAT GWAJIMA HAUTOKANI NA CHOCHOTE, ZAIDI YA ROHO WA MUNGU NDANI YAKE!

nchi ilipofikia tunawahitaji Gwajima wengi sana kulinusuru taifa!

shetani huwa anakemewa, sio kubembelezwa!
Giza na Nuru havibishani na kushindana, Gwajima mnamchongea kichwa yake inajaa kwa sifa anazopewa na soon jina lake litasahaulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…