GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watamdaka hawa watu unless atawalamba miguu.
wakifanya hivyo watakosea sana.Mtaifa ya magharibi siyo watu wazuri sana.nawasihii CCM tusifanye hivyo.

mambo mnengine huiataji nabii au manajibu kupatata jibu.ukweli huwa unauma.sasa mtu akikukosoa then ukakasirika maana yake alichokisema ni ukweli mtupu.wakati mwingine kunyamaza ni busara
 
Seat ya mbele na popcorn zangu🪑🪑🍿🍿
 
Jibu swali acha kukurupuka swali juu ya swali uliona wapi
alipewa na waumini wake. ulitaka apewe na papa? au nani kwa imani yako ulivyofunzwa huwa anatoa uaskofu?
 
Zimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.
Uwezo wako unaishia hapo? Haya nenda kabet sasa ukimaliza ukacheze karata na draft chakula kikiwa tayar utaitwa under ukale kwa shemeji sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…