GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
A

Atakamatwa mpaka mwisho wa uchaguzi kama Lissu. Anataka kuwashika mikono wanaokula, nao hawakubali kutema tonge.
Serikali haiwezi kuhangaika na hilo tapeli, ht Lissu km siyo alijipendekeza kwa vyombo vya usalama hakuna ambaye angehangaika naye. Lissu angekuwa anafanya siasa zake kistaarabu nani angehangaika naye? Lile ni lofa hajui siasa, hawezi kushindana na dola tena ashukuru huyu Rais ni mstaarabu mpk kesi inarushwa live? Ingekuwa wanaume km kina Magu kwanza asingenyanyua domo lake lile, pili lingepotezwa na maisha yakaendelea. Mbn alivyokuwa ukimbizini hilo bunge la Ulaya walikuwa kimya? Wanamjaribu Mama yetu!
 
Tuliyataka wenyewr kwa mihemuko yetu. Hivi kama kichaa Lisu tungemuacha aropoke tu halafu Gwajiboy tungemjibu kwa kumfukuza kwenye nafasi ya IGP na Waziri wa mambo ya ndani tukala kichwa na kuanzisha uchunguzi haya mambo yangekuwepo???????????
Shida tunazo hizi akili?
 
Huyu jamaa ni mwoga sijapata kuona. Yaani mwakilishi wa wananchi, mbunge unajificha kuogopa polisi?
Gwajima hakupaswa kujificha. Sababu kwanza ana kinga ya bunge. Hata kama ameongea akiwa nje ya bunge. Huyu jamaa ni mwoga sana.
Hakuna mwoga kama wewe maana hata Id yako humu ndani ni feck kwa hiyo uhalali wa kumwita Gwamija mwoga huna
 
Huyo mpuuzi amemsahau Dr. Wilbroad Slaa? Yule aliwahi kuwa katibu wa TEC. Hao maaskofu wanafanya siasa nyuma ya pazia.
 
πŸ”΄πŸ”΄πŸ”΄
IF YOU TRUST IN OLUMBA OLUMBA OBU. HE WILL NEVER FAIL YOU.
 
M
Huyu jamaa ni mwoga sijapata kuona. Yaani mwakilishi wa wananchi, mbunge unajificha kuogopa polisi?
Gwajima hakupaswa kujificha. Sababu kwanza ana kinga ya bunge. Hata kama ameongea akiwa nje ya bunge. Huyu jamaa ni mwoga sana.
Maisha matamu wewe, yule ana pesa kwanini ateseke korokoroni, mjanja yule siyo lofa km yule mnyaturu.
 
Shida tunazo hizi akili?
Inashangaza. Yaani walivyo fanikiwa kumfarakanisha Dkt Samia na wapiga kura hakika Tanganyika tunatisha. Yaani kutoka kuwa Rais Mfariji na kuwa killer, mtokomeza ukristo! Sijui ila inaniuma mno kuona Dkt Samia anachafuliwa na vitu ambavyo vilikuwa vinaepukika
 
Acha shobo na mama za watu tangu lini mama Abdul kawa mama yako kwani wewe huna mama
 
Mambo yako faya sana. Ujue CCM wako muda mbaya sana ukizingatia kuna watu wamekatwa kama Ummy,Mpina na issue ya Polepole. Kusema kweli kila kona moto kweli kweli
JAhazi la ukombozi limetoka kwa chadema, Lissu, Bunge la Ulaya , Tec, Mpina, Gwajima na sasa lipo kwa polepole

😁 tanzania ya miujiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…