Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Location?Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma?
Sawa babu ila ndio uchokoze wajukuu zako?Kuchokozwa sunna we binti...
Huna kumbukumbu labda chuki yako imeuwa akili kabisa. Lissu alimparura Magufuli na akampa za uso na kumpachika jina la dictator uchwara, mpaka akampiga risasi mchana kweupe na kung'oa CCTV camera.Serikali haiwezi kuhangaika na hilo tapeli, ht Lissu km siyo alijipendekeza kwa vyombo vya usalama hakuna ambaye angehangaika naye. Lissu angekuwa anafanya siasa zake kistaarabu nani angehangaika naye? Lile ni lofa hajui siasa, hawezi kushindana na dola tena ashukuru huyu Rais ni mstaarabu mpk kesi inarushwa live? Ingekuwa wanaume km kina Magu kwanza asingenyanyua domo lake lile, pili lingepotezwa na maisha yakaendelea. Mbn alivyokuwa ukimbizini hilo bunge la Ulaya walikuwa kimya? Wanamjaribu Mama yetu!
Hivi huyu Gwajima ndiye aliiba kura za Halima Mdee?Mwaka huu mpaka kieleweke tunataka Tanzania bora zaidi
#No reforms no election
Hapo hawezi ongelea wakurugenzi na tume nao wawe independent. Double standard ssna hiziHivi huyu Gwajima ndiye aliiba kura za Halima Mdee?