Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Ajifunze kwanza style mpya kama popo kanyea kambi, paka chongo, mende kuchungulia tundu la choo ndo aanze kumchamba mdee hiyo style yake ya kisukuma ni kichambo tosha kwake
 
In reality huyu Gwajima ambaye ni mgombea wenu CCM anaweza kufufua mti aliyekufa???
Nimeongelea Dar kwa ujumla wake. Safari iliyopita kulikuwa vichwa kweli kweli. Mwaka huu ni Halima peke yake angalau anaweza shinda.

Kumbuka 2015 Kulikuwa na Ukawa. Safari hii kila Chama kinapambana kivyake.
 
Hana ubavu wa kushindana na halima mdee huyo askofu tapeli
 

Amesemaje pia kuhusu Kufanya Kwake Ngono kwa Kula Kondoo wake Kanisani, Kuwatukana Waislamu na Kuwakwaza Wakatoliki kwa Pengo wao?
 
Yaani kweli umchague gwajima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule bibi aachwe apumzike, kalitendea makubwa taifa hili.
Labda kama jina lake linatumika kwa wema.
 
Huyu naye asituchoshe
Hawezi kujifananisha na Halima
Halima kakomaa kisiasa sasa wewe umekomaa ushamba na udwanzi
Mmmh kampeni za huko Kawe zitakuwa na makubwa...tutayajua mengi ambayo tulikuwa hatuyajui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…